Kuna nadharia mbili zinagongana ktk maelezo ya kwa nini ndege inapaa. Lakini ni kwamba ndege inapofikisha vigezo fulani inahama kutoka Law of gravity na kuwa ina obey the Law of aerodynamics. Ndio maana mambo angani yakienda ndivyo sivyo inarudi ku obey the Law of gravity....inashuka chini na ajali inatokea!
Redsilverdog said:hebu imagine babu zetu elimu ya sayansi ilivyokuwa ya juu! wameanza kuruka tangu enzi izo hizooo, tena na ungo tu!
Badala ya kujiuliza Ungo unaruka vipi nyinyi mnauliza ndege inaruka vipi?
kweli kabisa sasa nimesoma soma nimeona kuwa ndege ikiwa juu injini moja ikipata tatizo inaweza isiwe isssue lakini bawa la ndege likipata hitilafu kubwa basi ndege itashuka au kudondoka .Je ni kusema hizi commericial aircraft balance au centre of gravity yake inategemea zaidi mabawa ?
kweli kabisa sasa nimesoma soma nimeona kuwa ndege ikiwa juu injini moja ikipata tatizo inaweza isiwe isssue lakini bawa la ndege likipata hitilafu kubwa basi ndege itashuka au kudondoka .Je ni kusema hizi commericial aircraft balance au centre of gravity yake inategemea zaidi mabawa ?
Huu uzi nilikuwa sijauona bana, kunawakati nilikuwa interested kujua ndege inarukaje basi nikagoogle balaa.Sasa kwa nini tusifanye research za kisayansi na hawa wachawi wetu na sisi turushe vingege vyetu made in africa.
umenikumbusha michezo ya utotoni tumetengeza tiara au vishada na kuzipaisha juu. kishada kinakwenda mpaka juu kinaaza kupigana na mwewe. Wakati tunacheza michez hiyo hatukujua tunatumia kanuni physics a aerodynamics . Upepo ukiwa mkali sana kishda kinachanika . Ili kishada kikae juu vizuri bi kuyumba yumba sana lazima ulekeo wa wa upepo vs direction ya kishada viwe katika mfum fulani.......................
Kuna kitu kingine muhimu pia ni muundo wa ndege ni lazima uwe wenye kuifanya ndege isipingane na upepo(hewa) mfano huwezi tengeneza ndege yenye uso bapa hapa itapata shida kumaintain speed na swala zima la balancing