What Is Your Strategy?

lakini elewa unapoanza utakuwa uko gizani .. kawaida unapokuwa karib na mwenza kuna mambo mengi utayabaini kwa hiyo hutatambua hadi uwe na hicho kitu

Sikatai kuwa strategy unatakiwa kuwa nazo
Ila la muhimu ni kujiuliza je uko kwenye trend sahihi na je unayemwekea mikakati anakuelewa au unatwanga maji kwenye kinu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

ni sawa lakini yote haya huwezi kuyajua kama hauko kwenye ulingo halisi
 
Kwahiyo mkuu in other words unamaanisha kwamba tukiwa kwenye mahusiano tusiwe na strategies zozote zile?

...starategies (mikakati) ya kupata mchumba, kupatwa na mchumba na kuoa....mimi mbu siamini.
 
Naamini asilimia kubwa kwa wanaume tunaitumia kwenye kutafuta mtu halisi kw aajili yetu
Yaani nguvu nyingi sana tunatumia kutafuta mchumba na kuhakikisha kuwa tunaudumisha huo uchumba kwa gharama zozote na tukiw atayari kutumia chochote tulicho nacho kumaintain that relationship
Tunasahau kuwa hizo hizo nguvu na mali tunatakiwa tuzitumie kwenye kuhakikisha kuwa the same love we had wakati wa uchumba must be the same when we are together as husband and wife
Ila tatizo letu tunamalizia mikakati yote kwenye kutafuta wachumba ila tukishaoana kila mtu na lwake
The Finest bana, mada kama hii kwa wikiendi ngumu kidogo, lakini kwa kuwa ni MUHIMU SANA tuijadili.
Kama alivyosema MR. Rocky hapo juu, tunatumia nguvu za ziada katika kuweka mikakati kabla na ndani ya uchumba. Hiyo ya kabla ya uchumba sio mbaya, kwani ni matayarisho yako to be Husband au Wife. Lakini ndani ya uchumba tunapoteza muda na pengine pesa. Kipindi cha uchumba kinadanganya. Mwanamume anajaribu kuficha umasikini wake, ataazima gari, atakopa ili wikiendi atoke na bibi. Mwanamke anaficha kasoro zake. Tunajidanganya na/au kudanganyana. Tunapotaka kufunga ndoa tunapoteza pesa nyingi sana matayarisho na siku ya arusi. Tunawakamu marafiki na familia zetu kwa michango mpaka zipatikane milioni 10 (Mikakati yetu ya kwanza ni fahari - Mwaka huu wanitambue: Send-off.kitchen party, mlo wa mchana, hall la usiku, chai ya bibi arusi, chai ya bwana arusi...siku tau au saba za arusi). Pesa hizo zingefaa kuanzia maisha.

Mkisha kuoana ndipo matambara mabovu yanafichuka: Kumbe mume hahehohe, sms zinaingia na kutoka kama mvua, kila mmoja anadai uhuru wake, ma-ex wanawasumbueni na balaa kama hizo. Kinachonishangaza ni kwa nini wazazi wetu walioozeshwa kwa kuchaguliwa wake/waume wameishi ndani ya ndoa mpaka kuona wajukuu na vitukuu, wakati sisi tuliochaguana, kukbaliana, kupanga strategies, baada ya miaka michache pengine miezi, tunawachana. Ile kauli ya "Pamoja kwa shida na raha, kwa uzima na ugonjwa mpaka kifo kitapotutenganisha", tumeigeuza kuwa "Pamoja kwa raha na uzima mpaka nitakaposhindwa kukuvumilia au mpaka talaka itapotutenganisha".

Kwa mawazo yangu, ndoa kama pingu za maisha, strategies zake kuu zipangwe mkiwa ndani ya ndoa, hasa strategy ya kudumisha mapenzi na ndoa yenu ili kudumu katika asasi hii hii adhimu.
 
We tatizo lako TF unatafuta mbinu za kutafutia wachumba na namna ya kujiweka ili ufanikiwe kudumu kwenye uhusiano.
 
Mkuu nimekupata vilivyo bado naendelea kutafakari
 
Binafsi na za jumla kwa mpigo ni njema!
hayo ya kustratejaizi ngoja yakufanye uwe mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo....
Hahaha! Leo nitaipata, BHT kwahiyo haya sio ishu eheee?
 
QUOTE=bht;2574079]Binafsi na za jumla kwa mpigo ni njema!
hayo ya kustratejaizi ngoja yakufanye uwe mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo....[/QUOTE]

Bht za masiku. Mbona umepotea hivyo
Za siku
Umepotea sana b
 
Wewe mbinu zako zote na topic zako zote unatafuta mbinu na strategy za kukaa na mchumba
Ila ni mbinu nzuri sana na endelea kujifunza.

....mr rocky umeona ee? ha ha hahahha....i can imagine the finest chumbani kwake ana ubao na chaki....

Math+Formula.jpg

kila siku ana formulate na ku- strategize new equations za kumpata perfect partner...kumbe in real life kila siku mchumba/mke/mume anakuibukia na equation mpya...
 
Mkuu leo naona unaambaa na mimi lol sina strategy bana najaribu kuangalia upande wa pili wa hii kitu
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

....mr rocky umeona ee? ha ha hahahha....i can imagine the finest chumbani kwake ana ubao na chaki....

Math+Formula.jpg

kila siku ana formulate na ku- strategize new equations za kumpata perfect partner...kumbe in real life kila siku mchumba/mke/mume anakuibukia na equation mpya...
Hahaha! Mbu dah, soulmate nae ananiambia maswali yangu sijui huwa nawaza nini
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahaha! Leo nitaipata, BHT kwahiyo haya sio ishu eheee?
Wewe ni bwana 'perfectionist'....
Mi nakushangaa mbona ukayaanzishia na mjadala.....
Hehheee kaka, its all good bana acha wajuvi wadadavue. Mi najionea poa tu
. Mm ninhekushauri just be yourself.....
 
its true ,kama unataka kufikia huku lazima uwe na mipango madhubuti kuhakikisha mambo yanaenda sawa ,na kila lenye mafanikioa lazima liwe limepangwa sidhan kama mafanikio huja hivi hvii..........................au nimekosea?
 
Back
Top Bottom