What Is Your Strategy? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What Is Your Strategy?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by The Finest, Oct 1, 2011.

 1. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Truth to be told, for you to find love or to be found by love, you have to strategise, Even after you have found love , or after love has found you, you also need to strategise to keep it. Almost everything in life requires some form of strategy.

  Najua humu ndani kuna members ambao wameoa na kuolewa sasa ningependa kusikia kutoka kwao na uzoefu wao "Did they have any strategy for getting married"? kwa maneno mengine naweza kusema "For those of you that are married, what was your strategy for getting married"?.

  Na wale ambao hawajaoa au kuolewa.....Do you have any Strategy for getting married?
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Oct 1, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Strategy = Mkakati si ndio?

  Mwe ...................we The Finest una maswali!! mie hata sijakuelewa unachokitaka!
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  i have strategic plan niko kwenye action tf
   
 4. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Hiki kikiristo nimetoka kapa hapo may be ngoja nimsubiri Kloro au Babu aje anitafasarie
  Strategy.......................Mkakati wa kuhifadhi pendo au kustay in that love for long time or to keep that love au sijaelewa hapo
   
 5. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  We jamaa upo?
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  unaweza ukawanayo lakini ukamilishwaji wake ndio ukawa mgumu..
   
 7. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  wewe umeoa sio sema ulifanya mkakati gani hadi ukaoa yani ukafanikiwa kutimiza ilo lengo
   
 8. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Nipo aise mambo niaje mkuu
  Napambana na maisha tuu mkuu
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Oct 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  PA dear... Hapa naona umezungumzia general... BUT mie nitaongelea kwanza strategies in relation to find Love - and it finding you.... Ndio strategies ni muhimu katika kutafuta penzi ama kusubiri penzi likukute.... One has to take note kua Strategies ni nzuri kama Muongozo but isiwe ndo misingi ya One kupata a person anapenda afall in love with...

  For instance you as a guy unapoweka labda strategies ya the kind of lady you would like to fall in love with... na sifa kama vile labda awe Exposed, awe amesoma, awe Mrembo, awe wa kisasa, na awe awe nyingine nyiiingi hupelekea mara nyingi usione what is right in front of you just because you are so set on the type of person who seems ideal to you.... Na huyo wa mbele wako sababu haonekani ideal basi waweza mpoteza hivi hivi... na kuishia kupata ideal ambae aweza kua Bomu....
   
 10. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Aise ni kwel uyu raia kaoa
   
 11. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Haya bwana kbmia
   
 12. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #12
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Kumbe ndo anamaanisha hayo
  Sikujua bana
  Ni kuhakikisha napenda kweli na nalitunza pendo langu kwa gharama zozote na sio kuleta longo longo
  Na kuwa na mikakati ya kufikia malengo yetu ambayo ilikuwa ni kuishi pamoja
  kila unalofanya na mwenzako linaaim kukufikisha katika lengo lile la kukaa pamoja
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Oct 1, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Nyie watu sijawatia kabisa Machoni...... Alafu Mwanakili ulikuwepo kifunguoni tena?? Au nimechanganya madesa??
   
 14. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #14
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Yaani nimekumiss mbaya hapa jukwaani yaani mpaka palipooza kabisa kwa kupotea kwako
  Mambo dear
  Mwanakil ananichanganya tuu hapa
   
 15. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #15
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Npo dada ashadii
  Mambo zmekuwa ming mpaka shida,vp maisha lakn?
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Oct 1, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ulikuwa hujui? Ana hadi wajukuu huyo
   
 17. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #17
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mwamba toa uzoefu hapa wa strategies na si kulalama
   
 18. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #18
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hahaha wajukuu wamsingizia,hahaha
   
 19. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #19
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  naona unaleta utani wa ngumi tuu hapa
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Oct 1, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu nina imani kwamba suala la wewe kuoa halikuja ghafla tu bin vuu lazima ulikuwa na mikakati fulani sijui kama nitakuwa nakosea
   
Loading...