What is your PHOBIA?

What is your PHOBIA?

1. Mungu- yani huwa najishitukia kila ninapofanya kinyume nakosa amani huwa namwomba tu nisife nikiwa katika hali ya dhambi mweeeeeeee
 
phobia ya kufa mwenye dhambi, yaani kila possibility na hiyo kutokea nakosa amani kabisa......Mungu anisaidie aisee nisije poteza roho yangu
 
Scared of creepy-crawlies? You remind me of my little one. She is a nervous wreck when she sees them.

Yeah ni aibu..............imagine a grown up like me kupiga makelele na kuvua nguo kisa kapandiwa na dudu, juzi mjusi kanidondokea mgongoni i'm telling u it was insane.........lol
 
Yeah ni aibu..............imagine a grown up like me kupiga makelele na kuvua nguo kisa kapandiwa na dudu, juzi mjusi kanidondokea mgongoni i'm telling u it was insane.........lol

Hahahaaa natamani ningekuwepo kushuhudia:becky:
 
naogopa kila kinachoogopesha almost everything but mainly naogopa kifo, naogopa nyoka, kishindo cha aina yoyote, umaskini etc.
 
Back
Top Bottom