Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Wakuu habari za jioni? Mumeshinda swalamaa? Naombeni kujua, ni kitu gani wewe unaesoma mada hii unaogopa kupita maelezo.
Mimi bwana nina vitu vitatu.
1. Radi- mama weeee. Mvua ikinyesha huwa sina amani. Natafutaga mvungu uko wapi.
2. Siafu- nimeshawahi kuvua nguo zote kwa kung'atwa na siafu moja. Nikiwaona tu wanatembea natoka nduki na sigeuki. Na mikelele nitakayopiga??
3. Naogopa kuwa kwenye ghorofa marefu. I fear heights.
Wewe je?