Vingi, nitaweza kutaja vyote????
1. Radi
2. Fataki siju baruti na milipuko yote even balloon burst kiasi kwamba nikiona tu puto limejaa hapo nakosa amani nawaza anytime litapasuka
3.Safari kwa Private car kwenye High way nawaza njia nzima hata sisinzii kabisaa wala story hazipandi.
4. Nyoka sijui snake....uuuwi!!! hata kama kafa nikaambiwa alikutwa nyoka basi hiyo sehemu si salama kabisa kwangu
5. Sindano, hadi naona aibu baada ya tukio maana mkubwa mzima ila lazima kutokee varangati, na nimewahi kughairi kung'oa jino lililonifanya nikeshe, kisa ile sindano ya ganzi.
Lol