Kuwa na hofu a.ka. uoga ni moja kati vitu vibaya zaidi kumkuta binadamu. Mfano mtu mwenye HIV anakuwa hofu kubwa (msongo wa mawazo) ambao unapelekea kifo chake.!mkuu Santo labda nilikuwa sijakuelewa. Please nieleze vizuri.
= bundi,nyoka,simba,chui
= Janga la maji, moto
= jela
=ukimwi, kansa
=kibuti
Kuwa na hofu a.ka. uoga ni moja kati vitu vibaya zaidi kumkuta binadamu. Mfano mtu mwenye HIV anakuwa hofu kubwa (msongo wa mawazo) ambao unapelekea kifo chake.!
Naogopa pale katikati ya miguu ya mwanamke!!
mfano Gaijin, what would you rather not see?
makonokono jeee? Nge? Lo! Jongoo ni phobia hasa!
loooooooooooool. Nimecheka mpaka nimemuamsha mwanangu. Simba? Bundi? Haha. Jela??
Pole lakini waubani. Kwa kweli its not fair kucheka kwasababu you cant explain some fears.
Pole mkuu.....I hope its not these ones you cringe about
![]()