zamani zamani tu kwanza mbonga za majani zilikuwa za aina nyingi,za pori au za kupanda,sasa hivi hamna hiyo kitu,mi nilikuwa napenda sana ugali mnafu mana mnafu ni chungu na uchachu ila sijui inakwaje ni raha unapokula na ugaliOfukozi
Ujue zamani ndio ilikuwa dizaini ya upishi kama nyama ipo kidogo
Sijui ilisababishwa na watoto kuwa wengi, ili nyama itoshe inachanganywa na mchicha au kabechi sometimes
Ila nilikuwa naichukia jamani
Ndo hivo mkuu,kuna msosi ambao we hutanunua ukiwa hotelini,ila mwenzako ndo hivo,au unakuta unaenda na mtu hoteli anakula ule ule aliokula nyumbani .[Mkuu Blueprint inaonekana umedata na misosi]
hapana mkuu ila naoana kila mtu analwake yani inapendeza.kuona usichopenda kiapendwa.
Ndo hivo mkuu,unaweza ukajikuta unaandaa msosi masaa nne jasho likatoka na ukauharibu,mwenzako akaja kuupika msosi ule ule kwa nusu saa ukatoka poa[dah ila mixer nyingi sometimes zinapoteza ladha mkuu,pilau,mboga za majani,viazi,kachumbari mbona kazi sana]
Hahahahahaaaaaa mkuuu inaonekana upo vizuri sana kwenye madikodiko nakupa like.
Ndizi nyama
Kande
Ni msosi gani ushawahi kula?msosi labda wa kabila lingine au taifa lingine?au msosi gani hutaweza kula?[Ndo hivo mkuu,unaweza ukajikuta unaandaa msosi masaa nne jasho likatoka na ukauharibu,mwenzako akaja kuupika msosi ule ule kwa nusu saa ukatoka poa]
Hilo linaukweli mana kama syo kutopendeza linaweza chafua tumbo sa inakuwa umepoteza muda na umejiuguza mwenyewe. ila tooo much cku zote waga haipendezi.
Mkuu kwani ukiwapa ng'ombe piza hawawezi kula?kwanza msosi wa ng'ombe na sungura kiasili ni majani