What is your favorite food?

mpaka nahisi njaa
 
mkuu mi kwanza Pilau, pili Ugali ndio vinafuata vingine, na ni muhimu sana nyama isikose
 

Yani sijaona picha ila dah!nimeshiba kwa imagination.
ukiweka na kisamvu pembeni..mh!mh!mh!
 
View attachment 118265
===>Kelele zoote hizo mwisho ni hapa,kibaya zaidi na week end hii na kamvua haka ukijumlisha na Serengeti baridi,mambo shwari kabisa,
===>Baaadae ukirudi home unakaribishwa vizuri na Mama Yeyoo,NI NOUMA SANA!
 

Hahahahaha hadi maji ya kunawa ni tui duh hatari kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…