simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Animated ni sawa na catooon? Mfano does Jurrasic park qualify for animated category?
Mimi ni mpenzi mzuri sana wa kuangalia movies za nje, na mara zote sijapata kuangalia Animation film yoyote nikiamini ni za kitoto
Jana nilidownload movie imeandikwa jina lingine na baada ya kumaliza kudownload nakuta ni film inaita FINDING NEMO ni animation
Kwakuwa ilinicost usiku mzima kuacha kimeo changu kinadownload nikaona sio mbaya ngoja niiangalie
I was surprised.... sikuamini kama animation films zinaweza kuwa nzuri na zenye visa vya kufurahisha na kusisimua kama hii Finding Nemo
Najisikia kutaka kuangalia nyingine na zaidi, najua humu jukwaani wapo wadau wa film hizi
Ni film gani nyingine kali ya animation unadhani hutakiwi kukosa kuitazama?
1.Madagascar I & II
2.Ice Age I,II & III
3.Kung Fu Panda I & II
4.Ratatouille
5.Gnomeo & Julliet
6.Horton hears a who
7.Rango
8.Shrek
9.Flushed Away
10.G force
11.Up
12.Wall E
Pia kuna mfululizo wa clips za "Penguins of Madagascar"
Nimekusoma kwa herufi kubwa mkuu!
Kama mziki nina amini kila mtu anachaguo lake la aina za movie nzuri. Mimi pia hua nazipitia hizi (very entertaining)Penguins of Madascar mpaka leo huwa zikitoka namtafuta King Julian. Msisahau Puss in boots na happy feet part two yake imetoka hivi karibuni.
Happy Feet Two- Clip- He's Gonna Jump - YouTube

Kuna Garfield I & II.
Madagascar 3 iko njiani itakuwa kwenye cinemas soon.
The Smurfs.
Happy Feet I & II
Lion King I and II ambayo ni Simba's Pride. Halafu Timon and Pumbaa also have their own movie jina nimesahau
Na zingine nyingi ambazo wadau wameshataja.....
the boondocks ni hatariiii,,,
ur ryt 'Nigger'!haha
Karibu sana kwenye ulimwengu wa Animation..mimi nikiipata animation mpya na nikajua ni nzuri lazima niikamue leo leo...ni mpenzi saaaaaaaaaaaanaaaaaaa...watu wasiojua wakinikuta wanafikiri nacheki katuni kumbe na enjoy kishenzi..ninazo za kutosha tu kama 30GB.Hiyo Finding Nemo ni one of the best ngoja nikupe nyingine nzuri unazoweza kuzitafuta
1.Madagascar I & II
2.Ice Age I,II & III
3.Kung Fu Panda I & II
4.Ratatouille
5.Gnomeo & Julliet
6.Horton hears a who
7.Rango
8.Shrek
9.Flushed Away
10.G force
11.Up
12.Wall E
Pia kuna mfululizo wa clips za "Penguins of Madagascar"
Mimi ni mpenzi mzuri sana wa kuangalia movies za nje, na mara zote sijapata kuangalia Animation film yoyote nikiamini ni za kitoto
Jana nilidownload movie imeandikwa jina lingine na baada ya kumaliza kudownload nakuta ni film inaita FINDING NEMO ni animation
Kwakuwa ilinicost usiku mzima kuacha kimeo changu kinadownload nikaona sio mbaya ngoja niiangalie
I was surprised.... sikuamini kama animation films zinaweza kuwa nzuri na zenye visa vya kufurahisha na kusisimua kama hii Finding Nemo
Najisikia kutaka kuangalia nyingine na zaidi, najua humu jukwaani wapo wadau wa film hizi
Ni film gani nyingine kali ya animation unadhani hutakiwi kukosa kuitazama?
iko kwenye animation (cartoon)hebu mnijuze...
Hivi Kilikou ipo kwenye group ipi?