What is your favarote Animation movies?

Animated ni sawa na catooon? Mfano does Jurrasic park qualify for animated category?
 
Hadithi za Tingatinga..!!kwanini twiga anashingo ndefu
Kwanini nyani wanarukaruka mtini??kwa nini kiboko anangozi laini??
 
Mimi ni mpenzi mzuri sana wa kuangalia movies za nje, na mara zote sijapata kuangalia Animation film yoyote nikiamini ni za kitoto

Jana nilidownload movie imeandikwa jina lingine na baada ya kumaliza kudownload nakuta ni film inaita FINDING NEMO ni animation
Kwakuwa ilinicost usiku mzima kuacha kimeo changu kinadownload nikaona sio mbaya ngoja niiangalie

I was surprised.... sikuamini kama animation films zinaweza kuwa nzuri na zenye visa vya kufurahisha na kusisimua kama hii Finding Nemo

Najisikia kutaka kuangalia nyingine na zaidi, najua humu jukwaani wapo wadau wa film hizi
Ni film gani nyingine kali ya animation unadhani hutakiwi kukosa kuitazama?

hiyo mshikaji wangu alinihadithia inaelekea ya ukweli kichizi. Si ya samaki madolphin?
 
Kuna Garfield I & II.
Madagascar 3 iko njiani itakuwa kwenye cinemas soon.
The Smurfs.
Happy Feet I & II
Lion King I and II ambayo ni Simba's Pride. Halafu Timon and Pumbaa also have their own movie jina nimesahau

Na zingine nyingi ambazo wadau wameshataja.....
 
1.Madagascar I & II
2.Ice Age I,II & III
3.Kung Fu Panda I & II
4.Ratatouille
5.Gnomeo & Julliet
6.Horton hears a who
7.Rango
8.Shrek
9.Flushed Away
10.G force
11.Up
12.Wall E
Pia kuna mfululizo wa clips za "Penguins of Madagascar"

Nimekusoma kwa herufi kubwa mkuu!
 
Kama mziki nina amini kila mtu anachaguo lake la aina za movie nzuri. Mimi pia hua nazipitia hizi (very entertaining)Penguins of Madascar mpaka leo huwa zikitoka namtafuta King Julian. Msisahau Puss in boots na happy feet part two yake imetoka hivi karibuni.
Happy Feet Two- Clip- He's Gonna Jump - YouTube

u'd rather watch a bunch of penguins tap dance for 2hrs!! We do have different tastes i must admit
 
Kuna Garfield I & II.
Madagascar 3 iko njiani itakuwa kwenye cinemas soon.
The Smurfs.
Happy Feet I & II
Lion King I and II ambayo ni Simba's Pride. Halafu Timon and Pumbaa also have their own movie jina nimesahau

Na zingine nyingi ambazo wadau wameshataja.....

Tell me what did you think? I thought both Garfield I and II were awful (kinda ruined Bill Murray for me). The Smurfs was okay at best. Happy Feet I was a classic, as was Happy Feet II but just not as good. Lion King is the textbook of what a classic is. The Timon and Pumbaa movie was Lion King 1.5.
 
ur ryt 'Nigger'!haha

the boondocks ni habari nyingine...nakushauri km hujaiona uitafute manake inaanika ujinga wote wa cc mablack pple!...other than boondocks hapo ni penguins of madagascar na Rango la jiji!
 
Karibu sana kwenye ulimwengu wa Animation..mimi nikiipata animation mpya na nikajua ni nzuri lazima niikamue leo leo...ni mpenzi saaaaaaaaaaaanaaaaaaa...watu wasiojua wakinikuta wanafikiri nacheki katuni kumbe na enjoy kishenzi..ninazo za kutosha tu kama 30GB.Hiyo Finding Nemo ni one of the best ngoja nikupe nyingine nzuri unazoweza kuzitafuta
1.Madagascar I & II
2.Ice Age I,II & III
3.Kung Fu Panda I & II
4.Ratatouille
5.Gnomeo & Julliet
6.Horton hears a who
7.Rango
8.Shrek
9.Flushed Away
10.G force
11.Up
12.Wall E
Pia kuna mfululizo wa clips za "Penguins of Madagascar"

pamoja sana mkuu . hiyo finding nemo ndio animation inayoongoza kwa mauzo , walle ni animation yenye bonge la idea
hivi karibuni nimecheki zifuatzo
1.chicken run
2.brave (imechukua oscar)
3.paranorman
4.hotel transylania
5.wreck it wralph (nzuri sana)
tangled, frankeinstein (ila imekaa kitoto),pirates band, pia tafuta antz na bugs life
 
Mimi ni mpenzi mzuri sana wa kuangalia movies za nje, na mara zote sijapata kuangalia Animation film yoyote nikiamini ni za kitoto

Jana nilidownload movie imeandikwa jina lingine na baada ya kumaliza kudownload nakuta ni film inaita FINDING NEMO ni animation
Kwakuwa ilinicost usiku mzima kuacha kimeo changu kinadownload nikaona sio mbaya ngoja niiangalie

I was surprised.... sikuamini kama animation films zinaweza kuwa nzuri na zenye visa vya kufurahisha na kusisimua kama hii Finding Nemo

Najisikia kutaka kuangalia nyingine na zaidi, najua humu jukwaani wapo wadau wa film hizi
Ni film gani nyingine kali ya animation unadhani hutakiwi kukosa kuitazama?

ebana tafuta MegaMind
 
-shrek
-princess and the frog
-ice age
-alvin and the chipmunks
-Gforce
-madagascar penguine
 
  • Thanks
Reactions: amu

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom