What is wrong with our currency?

What is wrong with our currency?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,647
Reaction score
4,753
Wataalamu wa masuala ya uchumi mtujuze tafadhali...

Nini kinaendelea kwenye hili la kushangaza?

USD 1 = SOMALI SHILLINGS 530/-
USD 1 = TANZANIAN SHILLINGS 2300.

Nini kimetokea hapa?
 
Mkuu ukiilinganisha hivyo unakuwa unakosea. Kiuchumi value ya carrency unaievaluate kwa kulinganisha na purchasing power yake.

Mfano hapo unatakiwa ulinganishe je sh moja ya Tanzania ni sawa na gram ngapi yaa gold na ya Somalia ni sawa na gram ngap ya gold.
 
Kwaio purchasing power inaathiri vipi?
 
Mkuu ukiilinganisha hivyo unakuwa unakosea. Kiuchumi value ya carrency unaievaluate kwa kulinganisha na purchasing power yake.

Mfano hapo unatakiwa ulinganishe je sh moja ya Tanzania ni sawa na gram ngapi yaa gold na ya Somalia ni sawa na gram ngap ya gold.
we na huyo jamaa kwenye avatar yako hamna tofauti
 
Wataalamu wa masuala ya uchumi mtujuze tafadhali...

Nini kinaendelea kwenye hili la kushangaza?

USD 1 = SOMALI SHILLINGS 530/-
USD 1 = TANZANIAN SHILLINGS 2300.

Nini kimetokea hapa?
Ukilipa malipo ya online inakuwa kama 2400+ hivi.
 
Mkuu ukiilinganisha hivyo unakuwa unakosea. Kiuchumi value ya carrency unaievaluate kwa kulinganisha na purchasing power yake.

Mfano hapo unatakiwa ulinganishe je sh moja ya Tanzania ni sawa na gram ngapi yaa gold na ya Somalia ni sawa na gram ngap ya gold.

Your second statement shows the highest level of an impeccable ignorance --- sentensi yako ya sekunde inaonesha hai lebo yako ya ugoro usiopikika
 
Wewe ndio zero mara saba mara sabini na saba na elfu buku.

Purchasing power ya hiyo 530 ya somalia ni tofauti na hiyo 2300 ya bongo. Weka gold hapo ndio utajua...
 
Mwaka 2009
$ 1 ilikua ni 1000 tu
Leo hii inazidi kupanda tu
Kufkia 2025 itakua 3000 tuendelee kupambana tu
 
Mkuu ukiilinganisha hivyo unakuwa unakosea. Kiuchumi value ya carrency unaievaluate kwa kulinganisha na purchasing power yake.

Mfano hapo unatakiwa ulinganishe je sh moja ya Tanzania ni sawa na gram ngapi yaa gold na ya Somalia ni sawa na gram ngap ya gold.

Jibu sahihi.
 
we na huyo jamaa kwenye avatar yako hamna tofauti
Ni sawa ila wewe unaweza kuwa mpumbavu zaidi sababu umeshindwa hata kuja na hoja ya kupinga nilichoeleza bali umekuja na kejeli
 
Wataalamu wa masuala ya uchumi mtujuze tafadhali...

Nini kinaendelea kwenye hili la kushangaza?

USD 1 = SOMALI SHILLINGS 530/-
USD 1 = TANZANIAN SHILLINGS 2300.

Nini kimetokea hapa?
Silaha zina bei kubwa, hivyo wanunuzi wa silaha wanaheshimika! Nawaza!!!
 
Ni sawa ila wewe unaweza kuwa mpumbavu zaidi sababu umeshindwa hata kuja na hoja ya kupinga nilichoeleza bali umekuja na kejeli
Mimi sielew elew , dhahabu inakuwaje kipimo cha thaman ya currency flani.... Nipe darasa Kama vip boss,why gold?
 
Alisema "kwa mfano" Gold sio kipimo pekee. Katolea mfano. Kasome tena badala ya kukurupuka
 
Labda tueke hivi, Thamani ya pesa inapimwa na kipimo kiitwacho PPP(Purchasing Power Parity). Currency valuation ni economics manoeuvres tu ambazo zinawezwa kupikwa. Fatilia currency zenye thamani kubwa duniani je zinaakisi uhalisia wa uchumi wao??

Turudi kwenye hoja, thamani ya pesa inapimwa kwa uwezo wake wa kununua bidhaaa au huduma(Goods and services). Je sh 100 ya Tanzania ina uwezo wa kununua bidhaa ngap kulinganisha na 100 ya somalia? Mfano sh 100 ya tz inaweza nnunua gram 1 ya gold,ilhali itakuhitaji sh 10 ya somalia kununua gram 1 tu ya gold.

Note: Thaman ya pesa inapimwa sokoni juu ya uwezo wake wa kununua bidhaa au huduma na sio conceptual figures.
 
Back
Top Bottom