What is wrong with me?

upo very sensitive, very creative and romantic,....ila unaona hamna anetaka kujua hili,you probly a loner ujui tu lakin inaezekana una potential sana ndani yako ila ujawai zitumia may be ujapata msukumo au sehem ya kuzitumia ila jipe moyo kila kitu kitakua sawa,..pm me
 
Ni phase tu dear! Ata mie hua inanipataga!!! Ni kama depression fulani ivi. Unajihisi mtupu ndani na huelewi unachofeel! Ukiiendekeza itakutesa... We changamka na jumuika na marafiki ata kama you don't feel like doing so.
 
niceee
 
Probably true...
 
Sawa ntafanya hivyo...
 
You are horny.
True mkuu!!!.......Hata mimi nahisi nikikutana nae nikimwona tu naweza nikamwaga hapo hapo
but wonder enough eti hataki/hapendi wanaume!!
......Acha hizo,tupende buana kwani wewe una potentil kubwa sana ya utamu ndani yako ila hujui!
 
niunganishe jukwaa la wakubwa kwanza...
 
unakaribia kuingia mwezini?umehave sex lini mara ya mwisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…