What is wrong with me?

What is wrong with me?

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,950
Hi JF..... idk what is wrong with me jaman....yani i get angry with no reason....hata sijui kwanini....and i just hate everyone who is around me....i hate every person i see....yani nna hasira za ovyo ovyo tu....

Naona kila mtu ni fake ...idk...sielewi....ni kama i wanna be alone...yet ni kama i wanna be around people and have some fun....
Kama vile ni exit all the whatsapp groups....ni kama vile i wanna block everyone...

Sijui nifanye nini ...
 
Kaa na fanya mambo ambayo unaona yanakupa furaha ila pole... Wengine huku tulishaona kila kitu kichungu ila tukajipa moyo... Pia kubali kuwa maisha yako yana dhamani zaidi na pale unapofanya jambo kwa mtu mwingine jiaminishe kuwa utalipa cku moja mbele za mungu yaani mbinguni. Ukifanya hivyo utabadilika rafiki yangu
 
Asante rafiki
 
It seems like you're stressed up with something but you don't know what it is.
Kaa chini ufikirie ni kitu gani ambacho hakikwenda vile ulivyotaraji..pengine ukapata jibu.
 
It seems like you're stressed up with something but you don't know what it is.
Kaa chini ufikirie ni kitu gani ambacho hakikwenda vile ulivyotaraji..pengine ukapata jibu.
Thank you for that...
 
Tatizo hujapata wa kukukojoza!.....una matatizo ya kisaikolojia yanayotokana na kutokukojozwa lol!!
 
Back
Top Bottom