What is the worst idea you have ever thought of?

What is the worst idea you have ever thought of?

mambo mengine tanayo waza kama wengine wangeweza kuona dah, cjui ingekuwaje mazee?
 
it WAS in the past. I'm no longer suicidal at the moment, havent thought of it since 2006 when the 'reason' was solved

pole sana mkuu !

aliyejaribu ni hatari zaidi ya aliyefikiri....
na aliyefikiri mara mbili au jaribu mara mbili ni hatari zaidi ya aliyefanya hivyo mara moja.

mkuu jitahidi sana kufuta hizo kitu kichwa 2 times siyo jambojepesi hata kidogo kwenye risk assessment ya suicide unascore high,
 
Ila Boflo.... Huwa unawaza nini wewe???

Hahaaaaaaaa..



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
10. Others...kumwona Boflo.. Analook vipi!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
10. Getting married to different men. But now that I have a Little Man it has become a bad idea.
 
leave medical school at five yrs and goin study law at open universty....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom