What is the sweetest answer you ever heard from your kid?

What is the sweetest answer you ever heard from your kid?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Sometimes our kids responds in a clever way that amazes you. Tell us your experience.
 
You know i love you baby? Now lets watch cartoons, that series aint good for your brain.
He was a sweet 7yrs old at that time, my friend's son.he jumped onto my lap and was looking me into the eyes, conning me.
 
King'asti! 7-years old jumping onto your lap?Didn't he/she break you into pieces?
 
Last edited by a moderator:
Princess: Daddy I think I have a tinker bell....

Daddy: You mean a canker sore baby?

Princess: Yup...than one hi hi hi hi
 
He is petit, thanks for your concern. (au my lap is wide? Hehehe )
Bahati yako kama alikuwa petit. Maana angekuwa kama huyu hapa chini wallah MOI/KCMC/BUGANDO ingekuhusu!

CHUBBY BOY.jpg
 
Acha tu utasikia today no news watch Nickelodeon....
 
nilimpelekea zawadi....akasema asante mama.....dah mwili wote ulisisimka.......
 
nilimpelekea zawadi....akasema asante mama.....dah mwili wote ulisisimka.......

Nlikuta anaangalia Isidingo. Njemba inakula denda... nikamwambia "mwanangu ngoja tubadili Channel... hizi picha watu wanang'atana midomo si nzuri kuangalia watoto"

Hilo jibu sasa mi hoi..... "But dad mbona hawang'atani? wanakisiana wale"

Ghafla nikapata kiu ya Guinness na kumkumbuka Joyce wa kaunta. Fastaa nikawahi kwenye kupub kangu pendwa.
 
Haaa..mimi naulizwa mama unaenda wapi dady kasema usitoke...nikaona kijana sasa anaenda mbali6yrs
 
Huu uzi mtam sana, bado haujapata wachangiaji tu! Lakn wako njian wanakuja! Ntarud baadae kijiwe kikichangamka!
 
kuna picha ya nyerere anatabasamu kwa mbali kama mwanya flani hivi unaonekana ilikuwa inaoneshwa sana kwenye runinga kipindi kile cha msiba wa baba wa taifa mwaka 1999..so mdogo wangu akawa kila mda anaiangalia saanaa na mwisho akatuuliza....hivi mbona sielewi watu wanasema nyerere kaacha pengo kubwa wakati hapa kwenye picha ninaona pengo lenyewe dooogooo......daaahh by that time alikuwa na 6years kwa sasa akikumbuka anajicheka
 
Nlikuta anaangalia Isidingo. Njemba inakula denda... nikamwambia "mwanangu ngoja tubadili Channel... hizi picha watu wanang'atana midomo si nzuri kuangalia watoto"



Hilo jibu sasa mi hoi..... "But dad mbona hawang'atani? wanakisiana wale"



Ghafla nikapata kiu ya Guinness na kumkumbuka Joyce wa kaunta. Fastaa nikawahi kwenye kupub kangu pendwa.


Haha...una maneno weye!!
 
Napenda sana ninapotoka kazini mwanangu huwa anakuja kunipokea ananiambia mama atoka kazini she is 2 going 3years she is 5he sweetest
 
wangu alikua akiwa na mtoto mwenzake ukimwambia ebu mpige mkwara uyo dogo anamfata anamkaba alaf anaanza kumpiga vbao vidogovidogo eti anaanza kumfokea mwenzake "nikupge mkwara,, nikupge mkwara?" sasa sijui huo mkwara anajuaga ni pigo gani!!! sorry nimehama topic kidooogo
 
Duh! "Mama nakupenda sana ila wewe mara unanipenda mara hunipendi", "Najua leo umefurahi", nikimuuliza why, anajibu "nimefaulu mitihani", huwa naona fahari sana kupata huyu mtoto na huwa nafurahi ikifika siku ya kuchukua report yake shule, anajua na anapenda kuniridhisha. Nampenda sana, tatizo nina hasira sana ndo anavyoniambia mara nampenda mara simpendi
 
Back
Top Bottom