What is the sweetest answer you ever heard from your kid?

What is the sweetest answer you ever heard from your kid?

Huwa nacheka sana mwanangu akisikia kwenye tv mtu akijitambulisha kwa jina la pendo anadhani ni yeye basi anafurahi kicheko chake lazima na,wewe ucheke
 
kuna picha ya nyerere anatabasamu kwa mbali kama mwanya flani hivi unaonekana ilikuwa inaoneshwa sana kwenye runinga kipindi kile cha msiba wa baba wa taifa mwaka 1999..so mdogo wangu akawa kila mda anaiangalia saanaa na mwisho akatuuliza....hivi mbona sielewi watu wanasema nyerere kaacha pengo kubwa wakati hapa kwenye picha ninaona pengo lenyewe dooogooo......daaahh by that time alikuwa na 6years kwa sasa akikumbuka anajicheka

Hahahahahahaha!! Ndugu umenifurahisha sana
 
After circumcision a child asks Dady, are u also circumsised/ Dady yes. Baby, what about mom?
 
Me: what did you learn at school today?

Son: (mentioned his name imitating teacher ) I said sit down, come here! Come here, you come here

Reached 3 yrs, ladt week
 
natoka familia ya kilokole, lakina nabugia ulabu kama kawa, siku mchungaji alitutembelea, mara likatokea tangazo la bia Kilimanjaro kwenye ITV

Toto akashangilia akisema ..... hiyo mbaya ya baba
 
my kid :dady why you named me regina.
me :it was because of regina mengi;daughter of reginald mengi,the richest and influential man in tanzania.
my kid:so are you rich like mengi.
me:........SILENCE.:lol::lol:
A%20S%2020.gif
:eyebrows:
 
"Puliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiz maaaaaaaaaaaaaaaaaama, shipoiiil (spoil) me".
 
I don't have a kid yet, but this reminds me what happened with my little 2 cousins 2 years back, they were 5 and 3. One day we was on our way back from checking up on some of my homeboys in the neighbor-hood, we met this Chick and neighbor i was kind of feeling. We stopped to say hi and what not, the kids got home before me, and when asked where i was, they replied 'Si yuko na kitu yake' with their poker faces while busy with cartoons. What they said, and how they said it, is still the most awesome !sh i ever heard from any kid to-date.

They taught me a great lesson, kids are damn smart, you never wanna underestimate them. Coz i didn't do/say anything that indicated she was my Chick to anyone, let alone kids, but they figured.
 
hahha mpwa wangu dada yake anaitwa Tatu, so kishakatazwa kusema tatu kabisa ye ni dada tu... yupo around 3yrs!!!
sa anapojifunza kuhesabu ni moja, mbili, dada af anaendelea..... ukimwambia aseme tatu anaogopa dada atampiga

hahahaaaa....huyu noma...sasa inabidi awe anahesabu kwa lugha ya malkia.....
 
KATIBA NINI MWANANGU....Katiba ni utafiti wa sheria ya msingi! (wakati huo ana mika mitano) Wakati Sita na Chenga wakiibaka maoni ya wanachi!
 
nilipata aibu siku moja,ila nilijifungia chumbani nikacheka sana,dogo alimuuliza mgeni kwangu,wakati anakula,"we unakula kwa watu?,kula kwa watu vibaya".jamaa aliacha kula,ana miaka 15 sasa,by then alikuwa 4yrs old
 
😀😀😀😀 dada yangu alikuwa anamwambia mwanae asile kwa watu atachukuliwa na majini sasa akienda hata kucheza kwa watu akikaribishwa kula utasikia me sili majini yatanichukua
 
😀😀😀😀 dada yangu alikuwa anamwambia mwanae asile kwa watu atachukuliwa na majini sasa akienda hata kucheza kwa watu akikaribishwa kula utasikia me sili majini yatanichukua

eheheh majini duh..watoto rahisi sana ku-imitate wanayoambiwa na wazazi...
 
I don't have a kid yet, but this reminds me what happened with my little 2 cousins 2 years back, they were 5 and 3. One day we was on our way back from checking up on some of my homeboys in the neighbor-hood, we met this Chick and neighbor i was kind of feeling. We stopped to say hi and what not, the kids got home before me, and when asked where i was, they replied 'Si yuko na kitu yake' with their poker faces while busy with cartoons. What they said, and how they said it, is still the most awesome !sh i ever heard from any kid to-date.

They taught me a great lesson, kids are damn smart, you never wanna underestimate them. Coz i didn't do/say anything that indicated she was my Chick to anyone, let alone kids, but they figured.

Mwalimu wangu wa grammar asingenielewa kwa hapo red enzi hizo.... she happens to be my mother. Ila kwa sasa najua angenielewa tu. Dunia inakimbia mbaya!!!

CC walimu gfsonwin, snowhite, Kaizer, MwanajamiiOne
 
Back
Top Bottom