Architect E.M
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,211
- 1,363
Nashukuru sana kwa maneno mazuri mkuu, ni kweli tunatakiwa kutumia opportunities zinaokuja hata kama zinakuja kwa njia ya maumivu... lakini is this the purpose of life??? Kwanini tunaishi??Umepewa akili pamoja na mazingira yote yanayokuzunguka ili uweze kuyageuza kwaajili ya manufaa yako, mfano kuchonga miti kwaajili ya makazi, chuma kama zana na nyenzo za kufanyia kazi.
Tofauti yetu inakuja pale tu tunapotofautiana namna tunavyopambanua mazingira yetu, maisha yetu yote ni jinsi na namna tunavyotafsiri ulimwengu.
Wakati wewe unaamini na unasubiri maisha mazuri mbinguni kuna wenzako wanaamini maisha mazuri duniani, wanapambana huku wakijua hii ni nafasi yao pekee waliyonayo na hakuna maisha mengine baada ya hapa.
Kuna msemo wa kiingereza "if life gives you lemons turn them to lemonades" muda mwingine maisha hayatupigi na rungu yanatupiga kwa maembe badala uchukue maembe ule uendelee kuishi inalia maumivu.
Imani za dini. Hofu ya Mungu. Ahadi hewa za maisha baada ya hapa. Inalia kanisa ni badala uende shambani.
Maisha ni saikolojia, na ni namna ubongo wa mwanadamu unavyofanya kazi.
Tunaishi kwasababu tuna nafasi katika mzunguko wa kiikolojia, vipi kama sisi ndio tunafugwa na miti ili iweze kupata hewa ya kabonidayoksaidi.Nashukuru sana kwa maneno mazuri mkuu, ni kweli tunatakiwa kutumia opportunities zinaokuja hata kama zinakuja kwa njia ya maumivu... lakini is this the purpose of life??? Kwanini tunaishi??
Ndugu umeongea vema kabisaUmepewa akili pamoja na mazingira yote yanayokuzunguka ili uweze kuyageuza kwaajili ya manufaa yako, mfano kuchonga miti kwaajili ya makazi, chuma kama zana na nyenzo za kufanyia kazi.
Tofauti yetu inakuja pale tu tunapotofautiana namna tunavyopambanua mazingira yetu, maisha yetu yote ni jinsi na namna tunavyotafsiri ulimwengu.
Wakati wewe unaamini na unasubiri maisha mazuri mbinguni kuna wenzako wanaamini maisha mazuri duniani, wanapambana huku wakijua hii ni nafasi yao pekee waliyonayo na hakuna maisha mengine baada ya hapa.
Kuna msemo wa kiingereza "if life gives you lemons turn them to lemonades" muda mwingine maisha hayatupigi na rungu yanatupiga kwa maembe badala uchukue maembe ule uendelee kuishi inalia maumivu.
Imani za dini. Hofu ya Mungu. Ahadi hewa za maisha baada ya hapa. Inalia kanisa ni badala uende shambani.
Maisha ni saikolojia, na ni namna ubongo wa mwanadamu unavyofanya kazi.
Umepewa akili pamoja na mazingira yote yanayokuzunguka ili uweze kuyageuza kwaajili ya manufaa yako, mfano kuchonga miti kwaajili ya makazi, chuma kama zana na nyenzo za kufanyia kazi.
Tofauti yetu inakuja pale tu tunapotofautiana namna tunavyopambanua mazingira yetu, maisha yetu yote ni jinsi na namna tunavyotafsiri ulimwengu.
Wakati wewe unaamini na unasubiri maisha mazuri mbinguni kuna wenzako wanaamini maisha mazuri duniani, wanapambana huku wakijua hii ni nafasi yao pekee waliyonayo na hakuna maisha mengine baada ya hapa.
Kuna msemo wa kiingereza "if life gives you lemons turn them to lemonades" muda mwingine maisha hayatupigi na rungu yanatupiga kwa maembe badala uchukue maembe ule uendelee kuishi inalia maumivu.
Imani za dini. Hofu ya Mungu. Ahadi hewa za maisha baada ya hapa. Inalia kanisa ni badala uende shambani.
Maisha ni saikolojia, na ni namna ubongo wa mwanadamu unavyofanya
What we do for mankind is tame nature and environment so that we live ! And to live is produce and reproduce .Binafsi nachukuliaga kuwa namna hii; kuwa ndiyo uhalisia wetu sisi na viumbe wengine wote
We are of God and we live for mankind. (Sisi ni wa Mungu na tunaishi kwa ajili ya wanadamu). Anything done in that statement is right, anything contrary to this statement is left. Living and doing according to this statement is healthy and therefore right. Always healthy things are right.
Sababu yako wewe kuishi ni ipi mkuu??Kama huoni sababu ya kwa nini tunaishi hapa duniani, basi jitie tu kitanzi ili ufe. Maana hakuna namna nyingine.
Yes we tame, nature, environment and us for us and God. And because God is 'the all of us' for some of us you know, the statement 'Of God for mankind' becomes a repeatition!What we do for mankind is tame nature and environment so that we live ! And to live is produce and reproduce .
Sasa Mheshimiwa, mimi si kiumbe hai kama vilivyo viumbe hai wengine? Hivyo ni lazima niishi. Na siku kufa ikifika, nitakufa kama ilivyo kwa viumbe hai wengine.Sababu yako wewe kuishi ni ipi mkuu??