What is the purpose of life? Kwanini tunaishi?

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,211
1,359
Natumaini hamjambo waheshimiwa.

Nimetafakari kwa muda mrefu sana, nini hasa maana ya maisha na kwanini tunaishi?

Maisha hayako fair kabisa, wako watu wasio na hatia wala ubaya, wenye roho nzuri kupitiliza na wameishia kufa katika umri mdogo tena vifo vya kikatili mno. Wapo watu wenye roho chafu kupitiliza na wanaishi miaka na miaka wakiendeleza ukatili huo.

Maisha yetu yamejaa matatizo, majanga, huzuni, presha bila kujali waliofanikiwa kifedha na ambao hawajafanikiwa pia.

Wengi wetu tunajitahidi kupambana kufanikiwa kifedha, ila hata baada ya kufanikiwa, kwanini bado kunakua na suffering na presha nyingine za maisha????

Kwa mifano hii michache huwa najiuliza, kwanini binadamu tunaishi???? What is the purpose????

Saa nyingine naishia kuamini mstari wa ni biblia ulioandika maisha ni ubatili mtupu..

Karibuni kwa maoni wadau.
 
Umepewa akili pamoja na mazingira yote yanayokuzunguka ili uweze kuyageuza kwaajili ya manufaa yako, mfano kuchonga miti kwaajili ya makazi, chuma kama zana na nyenzo za kufanyia kazi.

Tofauti yetu inakuja pale tu tunapotofautiana namna tunavyopambanua mazingira yetu, maisha yetu yote ni jinsi na namna tunavyotafsiri ulimwengu.

Wakati wewe unaamini na unasubiri maisha mazuri mbinguni kuna wenzako wanaamini maisha mazuri duniani, wanapambana huku wakijua hii ni nafasi yao pekee waliyonayo na hakuna maisha mengine baada ya hapa.

Kuna msemo wa kiingereza "if life gives you lemons turn them to lemonades" muda mwingine maisha hayatupigi na rungu yanatupiga kwa maembe badala uchukue maembe ule uendelee kuishi inalia maumivu.

Imani za dini. Hofu ya Mungu. Ahadi hewa za maisha baada ya hapa. Inalia kanisa ni badala uende shambani.

Maisha ni saikolojia, na ni namna ubongo wa mwanadamu unavyofanya kazi.
 
Nashukuru sana kwa maneno mazuri mkuu, ni kweli tunatakiwa kutumia opportunities zinaokuja hata kama zinakuja kwa njia ya maumivu... lakini is this the purpose of life??? Kwanini tunaishi??
 
Chukulia mfano wa Jambazi aliyeokoka kwa imani ya kikristo, anapoingia kanisa ni akakiri kwamba kuanzia leo mimi naacha wizi na kumjua Mungu, hapo nani amekuwa amebadilika?

Mtazamo wa jamii kwenda kwa jambazi wetu wa zamani hapa una nguvu kubwa.
Ghafla jamii itaanza kujikita kuangalia mazuri ya jambazi na sio mabaya aliyotenda. Ubongo wa jamii utafuta mtazamo wa nyuma na kujikita kuangalia mazuri, na kwa haraka haraka jamii itaona kama kabadilika kweli.

Kwa upande wa jambazi alichokifanya ni kubadili fikra na uelekeo wa mawazo yake juu ya imani mpya aliyonayo. Hakuna nguvu nje ya jambazi mwenyewe wa la nje ya jamii iliyoingilia.

Maisha ni mawazo na mitazamo yetu juu ya vitu vinavyotuzinguka.
 
Nashukuru sana kwa maneno mazuri mkuu, ni kweli tunatakiwa kutumia opportunities zinaokuja hata kama zinakuja kwa njia ya maumivu... lakini is this the purpose of life??? Kwanini tunaishi??
Tunaishi kwasababu tuna nafasi katika mzunguko wa kiikolojia, vipi kama sisi ndio tunafugwa na miti ili iweze kupata hewa ya kabonidayoksaidi.

Tupo ili kulite ulinganifu kwenye kanuni za kimaumbile za ulimwengu (law of nature).

Hauna tofauti na sisimizi mkuu.
 
Kiimani tupo duniani kumjua Mungu, kumtumikia, kumwabudu, kumheshimu ili tuweze kufika kwake Mbinguni.

Ki sayansi tupo kuleta maendeleo ili kizazi kinachokuja kiishi vizuri kuliko sisi. Babu zetu walikufa kwa magonjwa kama TB na cholera lakini leo yanatibika. Roman Era hakukua na umeme hivyo kazi ilifanyika mchana tu lakini sasa hivi shughuli zinaendelea masaa 24.
 
Umepewa akili pamoja na mazingira yote yanayokuzunguka ili uweze kuyageuza kwaajili ya manufaa yako, mfano kuchonga miti kwaajili ya makazi, chuma kama zana na nyenzo za kufanyia kazi.

Tofauti yetu inakuja pale tu tunapotofautiana namna tunavyopambanua mazingira yetu, maisha yetu yote ni jinsi na namna tunavyotafsiri ulimwengu.

Wakati wewe unaamini na unasubiri maisha mazuri mbinguni kuna wenzako wanaamini maisha mazuri duniani, wanapambana huku wakijua hii ni nafasi yao pekee waliyonayo na hakuna maisha mengine baada ya hapa.

Kuna msemo wa kiingereza "if life gives you lemons turn them to lemonades" muda mwingine maisha hayatupigi na rungu yanatupiga kwa maembe badala uchukue maembe ule uendelee kuishi inalia maumivu.

Imani za dini. Hofu ya Mungu. Ahadi hewa za maisha baada ya hapa. Inalia kanisa ni badala uende shambani.

Maisha ni saikolojia, na ni namna ubongo wa mwanadamu unavyofanya kazi.
Ndugu umeongea vema kabisa
Kusudio la mwanadamu ni kumtumikia Mungu kwa maana amekupa utashi, na mazingira yenye kila kitu uweze kutumia kufanikisha kusudio lake juu yako ili uone ukuu wako. Lakini pale mtu anapokumbana na changamoto anahisi kama Mungu kamuacha badala ya kutafakari kuwa pengine anafunguliwa namna mpya na nzuri zaidi ya kutimiza kusudio lake
 
Umepewa akili pamoja na mazingira yote yanayokuzunguka ili uweze kuyageuza kwaajili ya manufaa yako, mfano kuchonga miti kwaajili ya makazi, chuma kama zana na nyenzo za kufanyia kazi.

Tofauti yetu inakuja pale tu tunapotofautiana namna tunavyopambanua mazingira yetu, maisha yetu yote ni jinsi na namna tunavyotafsiri ulimwengu.

Wakati wewe unaamini na unasubiri maisha mazuri mbinguni kuna wenzako wanaamini maisha mazuri duniani, wanapambana huku wakijua hii ni nafasi yao pekee waliyonayo na hakuna maisha mengine baada ya hapa.

Kuna msemo wa kiingereza "if life gives you lemons turn them to lemonades" muda mwingine maisha hayatupigi na rungu yanatupiga kwa maembe badala uchukue maembe ule uendelee kuishi inalia maumivu.

Imani za dini. Hofu ya Mungu. Ahadi hewa za maisha baada ya hapa. Inalia kanisa ni badala uende shambani.

Maisha ni saikolojia, na ni namna ubongo wa mwanadamu unavyofanya

Very exceptional and intellectual !
 
Mi naamini tumekuja duniani kuzaliana na kuujaza ulimwengu. Sasa sijui kwanini tunakufa!
 
Binafsi nachukuliaga kuwa namna hii; kuwa ndiyo uhalisia wetu sisi na viumbe wengine wote
We are of God and we live for mankind. (Sisi ni wa Mungu na tunaishi kwa ajili ya wanadamu). Anything done in that statement is right, anything contrary to this statement is left. Living and doing according to this statement is healthy and therefore right. Always healthy things are right.
 
Dalai Lama
Our-prime-purpose..jpg
 
What we do for mankind is tame nature and environment so that we live ! And to live is produce and reproduce .
 
Kama huoni sababu ya kwa nini tunaishi hapa duniani, basi jitie tu kitanzi ili ufe. Maana hakuna namna nyingine.
 
What we do for mankind is tame nature and environment so that we live ! And to live is produce and reproduce .
Yes we tame, nature, environment and us for us and God. And because God is 'the all of us' for some of us you know, the statement 'Of God for mankind' becomes a repeatition!
 
Sababu yako wewe kuishi ni ipi mkuu??
Sasa Mheshimiwa, mimi si kiumbe hai kama vilivyo viumbe hai wengine? Hivyo ni lazima niishi. Na siku kufa ikifika, nitakufa kama ilivyo kwa viumbe hai wengine.

Yaani viumbe hai vinazaliwa, vinaishi na mwisho vinakufa.
 
Upo duniani ili kuitawala dunia, wewe pamoja na aliyekuumba
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom