What is the purpose of cheating????

Pole Mbu nakubaliana na wewe kuwa kutojiamini ni sababu pekee ya kucheat, huyo atakuwa alikuwa na nyinginezo, ambazo kama ninavyoamini siko nyingi tu! kuna wengine wanafanya kwa tamaa, lakini pia kuna ile ya kuwa serial cheaters.....wanacheat for the thrill of it bana. They love their husbands, would never entertain mawazo ya kumuacha/achana na mumewe but they want something extra Mbu. Yaani they tend to miss ile hali/feeling inayoambatana na kujua/hisi mume wake can't keep his hands off her. Anakuwa anataka kuhisi anatakiwa/anahitajiwa, feel sexy, ajione kuwa anamturn on her husband kila wanapokuwa pamoja but ile feeling inapogeuka mazoea, inapokwisha.......... atatoka looking for it outside the marriage.
 
Reactions: Mbu

....lol...women are from venus....kwakweli hapo 'am lost in translation!'...
mwj1 usinipe pole bana, madhali sikuathirika na ukimwi na nina akili yangu timamu (sikupata usongo wa mawazo)
wala sikufikiria kujiua...acha nami sasa nile raha, maisha yenyewe mafupi haya....kujipendelea muhimu
 
Thanx 4 being open,but that is not a justification!
Well, as nilisema mwanzo, hakuna kitu kinaweza justify cheating. It is bad kwa macho ya Mungu, kwa asili zetu na own conscience pia, but you wanted to know why people cheat so I told you about the cheating experience I know of. I don't support her, I actually condemn her because she should have broken up BEFORE she starts a new relation but she did this and there is nothing I could do about it except tell her it is not right...
 
Heeey! Turn down the love songs that you hear
'Cause you can't avoid the sentiment
That echoes in your ear
Saying "love will stop the pain "
Saying "love will kill the fear "
Do you believe ????
You must believe

Source: Robbie Williams
 
lol Shemeji kumbe nawe kiswahili cha kizungu ni mwake eh?! lol hii ni wiki ya cheaters nadhani maana JF hamtupi pumzi wajameni!! Mie nimechoka mwili na nafsi!
 
Mbu sweetheart..........women tuna mambo na kama wanavyosema wengi kuwa we are omplicated hawajakosea. Kwa kuwa tuko varieties inakuwa ngumu kutuelewa kama ukitusoma juu juu tu!

Haya nirudishie pole yangu!
 
Reactions: Mbu
lol Shemeji kumbe nawe kiswahili cha kizungu ni mwake eh?! lol hii ni wiki ya cheaters nadhani maana JF hamtupi pumzi wajameni!! Mie nimechoka mwili na nafsi!
Shemeji liskushtue hilo ni copy and paste, Interview zote za kiingereza nilizohudhuria nilifeli.

Kuhusu cheating, hali halisi inatisha. Walahi waaminifu tumebaki wachache sana katika hii dunia, hatufiki hata 5%.
 
...khaa?....unataka nijitie kitanzi?
never....

...mie nimo kwenye 5% ya kina klorokwini.
Hah umekubali kukosa 5 Marks eh!
Am glad na nakupongeza kwa kuwemo kwenye hiyo 5% ya shemeji yangu!

............................ Naomba nitume maombi ya kuolewa hahahahahah.................Sitakucheat I promise!
 
....duuuhhh, mwj1 wewe tena....
vigezo vyote ishirini vya mtambuzi
https://www.jamiiforums.com/mahusia...a-kuolewa-basi-fanya-hivi%85%85%85%85%85.html umekamilika navyo....nipewe nini tena zaidi ya kukujibu YES!!!....

Hapa mnatafuta upenyo wa kumcheat Lawyer sasa.
 
Reactions: Mbu

Lol ngoja nikaicheck hiyo sred kama kuna mapungufu nijazie jino risasi fasta! Lol

Hapa mnatafuta upenyo wa kumcheat Lawyer sasa.

Hahahaha unakubali kucheatiwa? Na hapa purpose takuwa ni nini?

...pass!,....ngoja kwanza nimsome mwj1 atavyojibu...

Unanirudishia mpira eh?! haya bana
 
Lol ngoja nikaicheck hiyo sred kama kuna mapungufu nijazie jino risasi fasta! Lol

Hahahaha unakubali kucheatiwa? Na hapa purpose takuwa ni nini?

Unanirudishia mpira eh?! haya bana

...aaaah, mwj1 we acha tu...hizi sredi zilivyoongozana wiki hii na mimi na mwenza wangu tuna long distance relationship,...
 
...aaaah, mwj1 we acha tu...hizi sredi zilivyoongozana wiki hii na mimi na mwenza wangu tuna long distance relationship,...

Kuna memba hapo chini anachungulia anaitwa kisukari, Mungu atujaalie tumpate kisukari (memba, tumpate hapa jukwaani) lakini tusipate kisukari (marazi), kutokana na hizi sredi za wiki hii.
ammen
 
...aaaah, mwj1 we acha tu...hizi sredi zilivyoongozana wiki hii na mimi na mwenza wangu tuna long distance relationship,...

Hahah loh hapa lazima roho ziume mbu maana sred nyingine inakufanya ujikute unakitoa kilichoko sakafu ya saba ya moyo! Mwe! Nafuu yako itakuwa kama huyo mwenzako hayupo JF....maana awezazizima moyo kwa confesions zako!
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…