ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,568
- 44,784
Kuna swali hapo juu linahitaji majibu naomba unijib kutokana na mtazamo wako.mimi kwangu maana kubwa ya maisha Ni kuujua ukweli ili niwe huru na Kisha niwe na amani ya moyo(inner peace) na baadae nikishakuujua uhitaji wangu wa kiroho nifikie level ya kuzawadiwa na MUNGU ile ahadi kubwa na yenye thamani ambayo nina matumaini makubwa kuwa atapewa kila mcha MUNGU.zamu Yako sasa mwana jf unipe jibu lako.what is the meaning of your life?