What is the meaning of life to you?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,085
42,870
Kuna swali hapo juu linahitaji majibu naomba unijib kutokana na mtazamo wako.mimi kwangu maana kubwa ya maisha Ni kuujua ukweli ili niwe huru na Kisha niwe na amani ya moyo(inner peace) na baadae nikishakuujua uhitaji wangu wa kiroho nifikie level ya kuzawadiwa na MUNGU ile ahadi kubwa na yenye thamani ambayo nina matumaini makubwa kuwa atapewa kila mcha MUNGU.zamu Yako sasa mwana jf unipe jibu lako.what is the meaning of your life?
 
Life is a bitch death is her sister...lilywyne

However you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
1.Kumuabudu MUNGU
2.Kusaidia wengine kwa kwa nafasi niliyo nayo ama kidogo nilichojaaliwa
3.Kupenda&Kupendwa kwa dhati.
4.Kusifiwa mazuri yangu.
5.Kuheshimu&Kuheshimiwa
6.UKWELI! UKWELI! UKWELI!


Hivyo hunipa furaha na maana thabiti ya MAISHA.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom