Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 356
Hi Jambo Forum mbona kimya sana pande hii ya Technologia....?Shy,kilogwe,Richard na wengine wengi watabe(nguli wa Computer mko wapi?
Niko na Few Question baada ya kuwakumbusha....https and http..what is the different?
Siku tatu nne zilizo pita nimepata tatizo la 'log in' kwenye gmail server ku access my Gmail account kila ni 'log in' napata Error messege operation aborted, someone akanishauri niweke "s' mbele ya http so that it can look like this https..hapo ikakubali lakini gmail chat ikawa hola haikubali
Is there anyone here know why?
Thank