Iphone 3Gs mwisho wa matatizo,kwanza ni ngumu kuliko 4G hii na 4G zimetofautiana kitu kidogo sana speed ya net pamoja na uwezo wa kamera pamoja na taa ya kwenye kamera lakini upande wa OS zinatumia OS moja na kioo cha 3gs ni kigumu na madhubuti sana kuliko cha 4g na ni shock resistance, i like the phone...