what is the best mobile phone so far?

Sniper

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,915
709
Wana JF,
Ni simu gani ni the best kulinganisha na zote ziilizopo kwenye market kwa sasa. Kwenye mtandao naona wengi wanaisifia Iphone 4G, lakini pia kuna wanaosema HTC Evo na wengine Blackberry Curve 8520, Samsung Galaxy ...
 
zote ulizotaja hapo ni nzuri ila ubora atauona mtumiaji kutokana na matumizi yake na hobby yake ipo kwenye feature ipi
 
Samsung wana cm nzuri sana,startin wth their super AMOLED display tech,their dual core processors na most of them zinarun android ambayo inakuja kwa kasi sana,lakin kama unataka better hardware quality,run for Nokia,kama wewe unapenda games,apps za kumwaga zipo kwnye iphones,htc,lg wanazo simu zenye 3D displays na pia kuna rumors kuwa htc wanarealese 16MP Camera phone,zipo za kila aina inategemea na budget yako na matumizi yko,kama ni messaging,office kuna e series za nokia na b.b.
 
Mkuu iPhone 4 ni kiboko!! Hii kitu ni next level....Samsung walichofanya ni kucopy na kupaste..!

Tuambie ni specs gani hizo zinafanya Iphone 4 kuwa next level?

Binafsi kwangu ukionoda mambo ya voice na data iphone zina miss camera ya nguvu.. Na kwangu camera ni key feature na sio apps . Best phone inategema na mtu....
 
Nokia N8 au nunu kama yangu nokia e72 ina kila kitu unachofikilia wewe. kwanza nokia ni durable pili ni symbian dah!! i love my phone
 
Samsung wana cm nzuri sana,startin wth their super AMOLED display tech,their dual core processors na most of them zinarun android ambayo inakuja kwa kasi sana,lakin kama unataka better hardware quality,run for Nokia,kama wewe unapenda games,apps za kumwaga zipo kwnye iphones,htc,lg wanazo simu zenye 3D displays na pia kuna rumors kuwa htc wanarealese 16MP Camera phone,zipo za kila aina inategemea na budget yako na matumizi yko,kama ni messaging,office kuna e series za nokia na b.b.

Well said!
 
zote ulizotaja hapo ni nzuri ila ubora atauona mtumiaji kutokana na matumizi yake na hobby yake ipo kwenye feature ipi

Mkuu nakubaliana nawe. Kwa maoni yangu pia kuna vigezo vingine vya kuamua simu gani ni nzuri kwa mtumiaji husika. Mfano:

1. Rika - teenager, wa makamo, mtu mzima, mzee nk (imagine mzee na iphone 4 duh wapi na wapi, lakini kijana oh yeah hapo sawa)

2. Occupation - executive, businessman, student nk.

3.
 
Sijawahi kutumia simu yoyote yenye Windows Mobile OS, Vipi kwa mliotumia hebu tupeni ladha yake
 
samsung galaxy is the best.very high resolution,with great performance..I phone is nt gud.beside android is free Os..
 
zote ulizotaja hapo ni nzuri ila ubora atauona mtumiaji kutokana na matumizi yake na hobby yake ipo kwenye feature ipi

Ni kweli ulichosema, ubora ama kuipenda simu fulani ni kama unapoamua kununua gari. Kila mtu ana sababu zake za kuipenda simu ya aina fulani. Mfano mimi binafsi when it comes to smart phones nimetumia blackberries, Samsung Galaxy II, Evo, Sony errickson, Motorola Droid na Nokia lakini naizimia kichizi iPhone4. Huniambii chochote kuhusu iPhone4. But that doesn't mean kila mtu aipende iPhone4.
Ila swali moja ambalo watu wengi esp. huku US wanajiuliza: Ni kwa nini Apple wanaintroduce technology mpya then others wao wanaishia ku-copy? Kwa nini wao nao wasije na new product badala ya kungojea Steve Jobs aje na something new then wao ndio waige?
All in all iPhone ime-revolutionize the smart phone technology.
 
Back
Top Bottom