What is the best Download Manager apart from IDM?

What is the best Download Manager apart from IDM?

safi hii kitu ila mimi bhana nilitembelea jamii forum store kule nikakuta link ya internet download manager lakini nilivyoinstall wakati nadownload wakanambia wanataka first name,last name,email adress na serial key daaah kufika hapo nikaishiwa na pozi wakuu kama kuna mjuzi au link ya idm nyingine ambayo haitakuwa na utata help pleaz
 
kwa sasa IDM ina crack ambayo tatizo la fake serial number limekuwa fixed. Ukishairun ndo life time hata ukiupdate idm haijiblock tena. Ujue tuu kuintergrate na browser yako.

Funguka zaidi kuhusu hio crack
 
kwa sasa IDM ina crack ambayo tatizo la fake serial number limekuwa fixed. Ukishairun ndo life time hata ukiupdate idm haijiblock tena. Ujue tuu kuintergrate na browser yako.

Nilikuwa nayo ila baada ya kupiga windows chini ikagoma kuintegrate na Mozilla.
 
fanya integration vizuri...zinakubali kama dawa..ukishndwa ongeza ss nyuma ya neno youtube idm itatokea pia kama integration imekushnda

mkuu kama unatumia idm vizuri hakikisha kwanza umeintergrate na mozila afu download program ya flash player (flv) baada ya hapo mtandao wowote ule unadownload na inadetect haraka sana.
 
Back
Top Bottom