Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Hapa umeweka mtafaruku mwingine mzee!Ndoa inaweza ikafungwa harusi ikafata baadae au isifanyike kabisa.
Wamesema,"ni dhambi kufanya mapenzi kabla ya ndoa, hawajasema ni dhambi kufanya mapenzi kabla ya harusi"
So sioni mtafaruku hapo!