What is it that we want in banking sector? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What is it that we want in banking sector?

Discussion in 'International Forum' started by DKNY, Aug 13, 2011.

 1. D

  DKNY Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Ni matumaini yangu kuwa wote tumesikia ujio wa hii Benki ya Equity,what are your views guys,mngependa watuletee nini kuboresha mfumo mzima wa benki TZ?nasikia Kenya wanafanya poa sana,having more than 6mil.customers.
  What i want to c is,
  1.good customer service
  2.low intrst rates
  3.network zisizogoma goma mara kwa mara etc

  Your views guys
   
 2. Money Maker

  Money Maker Senior Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mechi ya arsenal na newcastle ndo inaanza...ntarudi kuchangia
   
 3. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wanakuja kuchuma...........................! we ndo wakala wao nini?
   
 4. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wakiweza wa-pitch kwenye mobile funds transfer system ( M-Pesa, TIGO pesa, Zap etc).<br />
  Kuna billions of shillings zipo idle, ambapo formal banking system imeshindwa kuzi harness.<br />
  Cha muhimu ni kuja na innovative products ambazo zita incorporate current mobile transfer operating model. <br />
  Mkihitaji masaada wangu ni-pm nitawapa shule ya jinsi gani mtumie mabilioni hayo, hasa ukizingatia ya kuwa more than 76% of all tanzanians are living in rural areas where there is no formal banking system.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mikopo ya interest ndogo ndo yenyewe
  na mikopo ya nyumba pia

  tanzania banking sector iko so kizamani bado

  watanzania wanao tumia huduma za benki ni kidogo mno
  less than two million
  which means kuna ajira nyingi mno za kutengeneza
   
 6. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  My money whenever I want it, wherever I need it! Basi.:coffee:
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Bank ya Equity itachangamsha sana market hapa. Iko very aggresive hii bank na kwa Tanzania Bank zinanyonya sana customers. Kwa mfano hadi sasa customers wanailipa bank kuwa na account! Hiki ni kinyume kabisa na sehemu zenye ushindani. Ukiwa na hela yako bank unategemea kupata interest rate. Tanzania, the only way kupata interest rate ni kuwa na FIXED ACCOUNT! Acha bank nyingi zije ili wagundue namna ya kuvutia wateja. Na pia bado watu wengi hawatumii mfumo wa ki-bank kwa sababu hazina mvuto - masharti mengi, mikopo interest ziko juu. etc

  As for your question - what I want from bank as a customer? - all of the above.
   
 8. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Binafsi nimefurahia ujio wa hii Bank Tanzania italeta mageuzi kwenye bank za kibiashara Tanzani hasa upande wa loans/advances, hawa jamaa huko kenya ukiwa na confirmed order lakini funds ni tatizo wao wapo tayari ku support, tusubiri tuone mambo yatakavyokuwa
   
Loading...