What is it about him that they don't like?

Walipo ratibu ile operation yao ya 'UKUTA' walikuwa wana nia gani haswa ? UKUTA ndio ilikuwa.kutekeleza demokrasia ?
 
Some students may hate certain subject this will automatically lead them to hate the teacher who teaches that subject. Inawezekana watu wanachukia baadhi ya vitendo na staili kuliko mtu. That man is not an Mc
I don’t think he divides us.

It’s just a figment of your imagination.
 
Wananchi wamrpoteza furaha ya maisha KSHUJUMU UCHUMI kwa maamuzi yake ya kimihemko.ANGALIA BIASHARA kila uwekapo mtaji unazama na kuibukia serikalini na kusababisha njaa huku mtaani.
Chuki inakupelekea mpaka kusema uongo !
 
The Man is not an angel, but hating him to the extent wishing death is total mental disorganized.
 
I am pro-Magufuli, but I see lack of consistency as one of the serious issues on his part. Under no circumstances can you claim to fight corruption while encouraging others to take bribes.
 
Please Ngabu;
Don't laugh! This is serious!

It's sad cos we have section of people behaves like 👇
Ni ule tu usemi kwamba aliyewahi studio ndio mwenye wimbo, lakini ukiwa unawaelewa vyema wanyama hawa basi utagundua hasa hasa wanafanana na nani.

Kwa miaka na miaka wanyama hawa wanavuka mto Mara na kuliwa na mamba, lakini hawabadili njia wala hawana wazo tofauti, wao ni ILE ILE TU...umewajua sasa?
 
Wapi aliwagawa watu ?! Hebu lete Ishara (ushahidi)

Mifano iko mingi sana unless "kugawa" hakujaeleweka.

Assume mm ni rais niko ziarani kikazi kama Rais Tunduma then anatokea mama mmoja kwa uchungu akiomba kwamba wana shida kubwa ya maji wanaomba intervention then Mimi kama rais ninamjibu kamuombe mbunge wako afterall mlichagua vibaya mbunge wa upinzani. Mwinyi, Mkapa, Kikwete, never did this infact Uhuru hata Mseveni huwezi kuwasikia wakiyasema haya kwani wanafahamu kwamba wao ni marais wa wananchi wote.

Mkumbusheni huyo mtu wenu kwamba when it comes to presidency yeye ni rais wa watanzania wote hata sisi tusiompenda upeo. Damage anayoifanya will take ages to recover from-this is very serious.
 
Ungeweka kwa lugha ya Kiswahili wengi wangekupata Umeandika vizuri sana.
.Tatizo, lugha ya Malkia hatuitumii sana.
Hata hivyo I do agree with most of what you have put forward. However Magufuli has NEVER been a belligerent person but rather a HANDS ON person of which in essence this kinda approach has worked well to his advantage against his adversaries!
That is my take though!
 
Ungeweka kwa lugha ya Kiswahili wengi wangekupata Umeandika vizuri sana.
.Tatizo, lugha ya Malkia hatuitumii sana.
Hata hivyo I do agree with most of what you have put forward. However Magufuli has NEVER been a belligerent person but rather a HANDS ON person of which in essence this kinda approach has worked well to his advantage against his adversaries!
That is my take though!
 
I see you have added the bolded part which I did not utter.

That's fetched from the main post on discussion.

Let me reiterate that am not his fan either which I don't think it doesn't make headlines.

I do accept his genuine mistakes as part of all human beings.

The kind of hatred in discussion is astonishing.

Does he really deserve it?
 

He rightly DESERVES it, why not while he is the founder ? He started it so we are just following his tune.
 
Kindly elaborate on this "DIVIDIND us" narrative.!!
 
Hakuna watu wajinga na wapumbavu Kama wanachama wa CCM.
Magufuli hakufaa kabisa kuwa Rais, ingekuwa Kenya angetolewa kwa nguvu, Rais gani anahubiri chuki hadharani? Yaani anajipambanua Kama Rais wa wana CCM na siyo watanzania wote, mtu wa aina hiyo nani amtakie mema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…