I have been a member of Jf since 2008.I remember when very constructive and educative threads were written.It was indeed very enjoyable time.When I switched on my computer, and occasionally decided to go to Jf, it was time to learn and exchange ideas.That is not the case any longer.Very rarely do I come across constructive threads.Most of the time threads written are too thin to even comment on.They do not have substance at all.Sometimes it's very cheap talk,only feeding the brain with rubbish.But why have we come down to this,sometimes I ask myself and wonder.Have we become so irresponsible as to allow the enemy(you know what I mean)to use us as he wishes? Let's please not forget, that we have a moral responsibility to our fellow Tanzanians.They depend on us to change their lives in one way or the another.Discussing nonsense is not good for our health and moral intrgrity.It's neither beneficial to those we claim to save.Lets determine to make JF enjoyable once more.
Mimi naona upo sahihi, marika tofauti tofauti yamejiunga na JF tofauti na ilivyo zamani.What is NOT happening with JF??????
Nadhani kuna mambo mawili yanayoweza kuwa sababu:
Kwa kusema hivi namaanisha kuwa kwa kule kuongezeka kwa access ya matumizi ya computer na internet kwa makundi mbalimbali ya jamii kunaivuta jamii nzima kuwepo ndani ya JF na unavyoona JF si haba kusema ndivyo jamii ilivyo leo (its a reflection ya community yetu).....maongezi ya watoto wa Form One 2006 sio sawa na hawa wa leo..........story za vijiweni, baa na kwingineko za miaka kadhaa nyuma sio sawa na leo.....so kila kitu kimebadilika
- Tulikotoka sio wote waliokuwa na access kubwa ya computer na internet na watumiaji walikuwa sana sana ni watu kama wahadhiri na wenye maofisi yao (watu wa calibre fulani)...........sasa hali imebadilika
- Kutokana na sababu ya awali, watumiaji wengi inaonekana walikuwa ni matured persons lakini sasa hivi utasoma wako hadi wanaofanya mtihani wa kidato cha nne sasa hivi (hope mnanielewa ninachomaanisha)
Ni muhimu kukubali ndiyo jamii yetu ilivyo na JF haiwezi kuwa tofauti na jamii (hata ukifuatilia forums za wenzetu weupe kuna idea nyingine kama kinyesi) huko nje na ni ishara ya kukua na kukomaa zaidi kwa JF kwa kukusanya makundi yote ya jamii japo inaonekana kama inashuka sana kutokana na mijadala na trend yake ilivyo.......iliyoko chini ya kiwango potezea
Kaswali ka Kizushi kwa wale wa zamani: Hivi enzi zenu kulikuwa na ubishani, "crap", ban au infringement za kanuni za JF?
But you are part and parcel of those memberz you claim to be irresponsible.
So far how many heavyweight threads have you jotted here, so as to support your claim? otherwise dont separate yourself from your allegations...right?