What is CNFA?

What is CNFA?

Ogah

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
6,238
Reaction score
1,567
Hawa watu ni akina nani? wako wapi hapa Tanzania

Wanafanyaje kazi zao hapa nchini?

Walianza kazi zao lini?

Ni kina nani wana mamlaka juu ya shughuli wanazozifanya?

Wananchi tunanufaika vipi na uwepo wao?

mwenye kuwajua fika hawa watu please atumwagie hapa JF
 
Siyo kila mtu amewahi kuiona au kuisikia hiyo acronym - CNFA. Kama unataka msaada toa kirefu chake ili usadiwe. Vinginevyo kila mtu anaweza kuipa maana anayoitaka. Kwa mfano, Cabbage National Farmers Association. Si CNFA?
 
I wanna Kill right now!........ulionenakana Dodoma wewe au ni pacha wako.....(joke)............

Shukran Mkuu Ruge kwa kutoa mwangaza, pengine ndio maana sijajibiwa.............niliambiwa......wanajihusisha na some stuffs kuhusu kilimo Tanzania............
 
Hawa watu ni akina nani? wako wapi hapa Tanzania

Wanafanyaje kazi zao hapa nchini?

Walianza kazi zao lini?

Ni kina nani wana mamlaka juu ya shughuli wanazozifanya?

Wananchi tunanufaika vipi na uwepo wao?

mwenye kuwajua fika hawa watu please atumwagie hapa JF

just 1 minute on GOOGLE.......
CNFA
 
just 1 minute on GOOGLE.......
CNFA

.........labda ningeweka wazi tokea mwanzo kuwa...........nahitaji kufahamu kuhusu shughuli zao hapa Tanzania.........i knew abt kui-google...........nilitaka kujua kama kuna baadhi ya wan JF wana taarifa zao............nataka kuunganisha dots.............

thanks anyway
 
Back
Top Bottom