Mtumie PM
As a man you are entitled to your feelings but make sure you know Nasema well! Have you read her posts and understand her personality? FYI Nasema is a firm, unshakeable lady who does not succumb easily to men's baby baby stories. I advise you to watch each step you make and the words you use! Best of luck though, my dear.
Sijui ni kwa nini nimechelewa kuiona hii. Chimbuvu, mimi nina mpenzi mmoja tu, simuachi ng'oo. Sihitaji mwingine kwa sasa. Kama unaweza kungoja hadi nitakapohitaji mpenzi mwingine ndipo nitakuarifu kwamba kuna vacancy!! Upo hapo?

Nimeukumbuka wimbo wa masari unaitwa real love
Nasema! Angalia hapo kwenye bold. Kwani mimi sistahili kukufahamu/kukujua? Nasoma sana post zako/michango yako ambayo imeniintroduce kwako. Nitaleta thread hapahapa cc juu ya posts zako, vuta subira utaiona.Yaani hata wewe HYGEIA unajua kwamba mimi ni machachari, umejuaje?