Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
Kazi wanayo!
Na cha kushangaza hawa ndugu zetu huwa hawajifunzi kutokana na mifano hai wanayoiona/kuisikia kila siku.Mvuto HARUFU, na kutaka kumkosoa Mungu...! Mbaya sana hii wallah
Na cha kushangaza hawa ndugu zetu huwa hawajifunzi kutokana na mifano hai wanayoiona/kuisikia kila siku.
Kuna mwenzao demu wa KiNigeria amepoteza maisha nchini China akiwa chumba cha upasuaji, eti alienda kubadilishwa manyonyo ya zamani awekwe mapya. Hivi kwanini ufanye maamuzi ya kuwekwa kitu ambacho unajua fika itafikia muda utaenda kubadilisha au inaweza tokea hitilafu muda wowote ukaenda tena kurudia upasuaji!
Hebu tufanye wanavyotaka wao mfano amepita mbele ya mshana jr akaona hayo manyonyo yaliyosimama au yaliyotutumuka, sasa inasaidia nini?
Kwanini ukubali kuchanwa chanwa mwili wako! eti kwa ajili ya urembo tu?
Kiongozi nina uhakika hali ndio inayowabana lakini kama inaruhusu au itawaruhusu kwa hawa jinsia ya kike wengi wao nina uhakika wangefanya zaidi ya hayo.Yeah nakubaliana nawe harufu lakini watu wa namna hii wana tatizo la kisaikolojia wanajiona hawajatimia mpaka wafanye kitu fulani
Nwele bandia
Makalio bandia
Manyonyo bandia
Kucha bandia
Mboni za jicho bandia
Kope za macho bandia
Yote juu ya nini?
Itabidi tutembee na tape measure ili tuwe tunapima kabla... Na baada....!!