What if? What for?

What if? What for?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,098
1414612696299.jpg
 
Teh Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeeeeeeeh, kwa kweli dada zetu wana kazi sana
 
Dah! Hivi kuna wanao-fake eeeeh! Aiseeeeee. Yaani tacko zuuuuri kumbe kiuhalisia pasi.
 
kwa ajili ya kuongeza attention loh ukipita ukiwa bapa amtuangaliii sasa tukiweka hayo masponchi duh macho yote kwangu loh sponchi linaraha yake babu eeh.... uzuri wa nyumba chooo... utamu wa kondoo mkia
 
kwa ajili ya kuongeza attention loh ukipita ukiwa bapa amtuangaliii sasa tukiweka hayo masponchi duh macho yote kwangu loh sponchi linaraha yake babu eeh.... Uzuri wa nyumba chooo... Utamu wa kondoo mkia
kwani mkia unaliwa miss chaga
 
Nwele bandia
Makalio bandia
Manyonyo bandia
Kucha bandia
Mboni za jicho bandia
Kope za macho bandia

Yote juu ya nini?
 
Nwele bandia
Makalio bandia
Manyonyo bandia
Kucha bandia
Mboni za jicho bandia
Kope za macho bandia

Yote juu ya nini?

Mvuto HARUFU, na kutaka kumkosoa Mungu...! Mbaya sana hii wallah
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom