What if bongo zozo is

What if bongo zozo is

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,499
Reaction score
18,173
Wanasema an empty mind is a devil workshop.. hili naliona hapa.. najaribu kuawaza vitu vya hovyo tu hapa.. sasa kuna huyu mdau Zozo bingi... Ananitafakarisha sana.. na anavyoaminika sasa....😂😂😎. Wadau mjue Tanzania ni kubwa sana. Halafu wa tz sisi hatunaga baya....

Let me mind my own business... cheers to mr ambassador.....😎
 
Wanasema an empty mind is a devil workshop.. hili naliona hapa.. najaribu kuawaza vitu vya hovyo tu hapa.. sasa kuna huyu mdau Zozo bingi... Ananitafakarisha sana.. na anavyoaminika sasa....😂😂😎. Wadau mjue Tza ni kubwa sana. Halafu wa tz sisi hatunaga baya....
Let me mind my own business... cheers to mr ambassador.....😎
Bongo hamna issue nyeti kivile. Huyo ksnogewa na maisha rahisi ya TZ tu basi.
 
Hata kama akiwa.
Kwani ni kitu cha ajabu mkuu.

Kama sisi tumeshindwa kuwa tumekalia kuweka ndug zetu unategemea nini.

Hiyo ni kazi kama kazi zingine tu.
 
Wanasema an empty mind is a devil workshop.. hili naliona hapa.. najaribu kuawaza vitu vya hovyo tu hapa.. sasa kuna huyu mdau Zozo bingi... Ananitafakarisha sana.. na anavyoaminika sasa....😂😂😎. Wadau mjue Tanzania ni kubwa sana. Halafu wa tz sisi hatunaga baya....

Let me mind my own business... cheers to mr ambassador.....😎
Yule hafai
 
Tunajua ni mpelelezi wa mabepari, lkn Kuna la kuchunguza bongo? Wewe sikiliza mipasho TU jiongeze kidogo then unajua kila kitu.
 
Tunajua ni mpelelezi wa mabepari, lkn Kuna la nosha dotikuchunguza bongo? Wewe sikiliza mipasho TU jiongeze kidogo then unajua kila kitu.
Yeap kama kama wewe ni muunganisha dot mzuri
 
Back
Top Bottom