Jamani mimi wazabangah1, nakumbuka mbali sana nilipotoka mpaka leo nilipo. Nime bahatika kukaa katiaka mikoa mitatu na ndani ya mikoa hiio mmoja kati ya nilibahatika kupata msichana wa kike mrembo nakumbuka ilikua 2012.
Kiukweli tulipendana sana, nilideka miye mpaka nkawa mtoto, mapenzi nilipewa mpaka ya reserve, mitoko ya maana, na route za hapa na pale watu wa mjini wanaita "love bird" nikitoka yuko hapa nikikaa kwa lisaa nimevuta waya kiukweli ilikua amanii na upendo uliokithiri mpaka basiiiiii.
Na hapo ndipo nkajua kua mapenzi ni kama covelent bond kwa jinsi yalivyo na nguvu ya muunganiko. ila sasa mwishowe tukaja kuachana kwa kua kila mtu alikua na imani yake tena tulipotoka sote ni watu walio na msimamoo wa kushiba.
Nilijipa moyo kua nitaweza kushinda hali halisi mda ulienda maisha yalisonga now niko na kazi na pesa na bond nyingine nzuri tuu tena inavutia. BUT WHAT I REAL MISS IS HAPPINESS, i think you know what am talking about... #NI hayooo tuu nawasilishaa.