Kidogo endelevu? Unafikiri soka ni sawa na kuwa bank teller wa CRDB? Soka ni ajira isiyozidi miaka 10. Sasa avunjike mguu kwenye njaa kali badala ya kujikusanyia mapene bila jasho jingi... sio ujinga huo??
Unaweza kuwa Tegemezi kwa vibonde ukalipwa hela ya madafu... Au ukawa wa akiba timu kubwa ukalipwa mamilioni. Akili ni nywele kila mtu ana zake... na kupanga ni kuchagua
Mbwana Samata kaondoka Genk inayocheza Champions league akahamia Aston Villa inayopigania kutoshuka daraja... na watanzania karibu wote walilipuka kwa furaha na kumpongeza kijana wetu.
Sijui kwanini imekuwa nongwa kwa Gadiel...
Je, ni wachezaji wangapi toka Tanzania wamesajiliwa Kenya, Uganda, Zambia, DRC, Msumbiji n.k. ambao hawakutoka Simba au Yanga? Au kwa akili yako ya kushikiwa unadhani vilabu vyote husajili kwa kuangalia mechi za Simba na Yanga tu? Unaelewa maana ya scouting? Habari za kuwa mchezaji wa akiba uwe tajiri ni mtazamo wa hovyo kabisa kuwahi kuisikia. Pesa hailengwi hivyo, jifunze njia zakeAkili za kuambiwa hizi. Kwahiyo ni heri ucheze Namungo ufe njaa badala ukawe mchezaji wa Akiba TP Mazembe uwe tajiri...
Unadhani mchezaji wa kutumainiwa Namungo na mchezaji wa akiba Simba ni yupi ana nafasi ya kusajiliwa na Gor Mahia?
Je, ni wachezaji wangapi toka Tanzania wamesajiliwa Kenya, Uganda, Zambia, DRC, Msumbiji n.k. ambao hawakutoka Simba au Yanga? Au kwa akili yako ya kushikiwa unadhani vilabu vyote husajili kwa kuangalia mechi za Simba na Yanga tu? Unaelewa maana ya scouting? Habari za kuwa mchezaji wa akiba uwe tajiri ni mtazamo wa hovyo kabisa kuwahi kuisikia. Pesa hailengwi hivyo, jifunze njia zake
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Ukifuatilia nilichosema humu JF wakati huyu dogo anahamia Simba kutoka yanga nilisema kuwa huyu dogo hatacheza mpira huko Simba na akitaka kurudi yanga watamkataa...Dogo alienda Simba kwa mbwembwe zote, now pumzi zimekata. Benchi linamuhusu.
Dogo alikosa washauri. Unaweza vipi kutoka kwenye timu ambayo wewe NI mchezaji tegemezi na kwenda kuhangaika kugombania namba na mchezaji mwenye kiwango cha lami kama Tshabalala?
Wachezaji wa Tanzania bogus sana
Yaani ukose namba Simba ukapate namba Uarabuni... hizi shule siku hizi mnafundishwa mini?
Hawezi hatumtaki.Apambane akitemwa simba ataenda kagera sugar[emoji2][emoji2]Hivi Yanga hawawezi kumrudisha ? Au alitoka Kwa dharau?
U c what I c.
Ur the true son of Ur father.
It was not necessary for Gadiel to go to Simba.
Huyu dogo alitoka kwa dharau Sana ....alizima simu karibu wiki tatu...watu wa yanga wakamfuata mpaka misri alikokuwa na taifa stars lakini akagoma kusaini...siku za .mwisho akiwa yanga tayari alishaonana na watu wa mikia...yaani yeye na kakolanya wana dharau kubwa Sana...huyo kakolanya naye siku zake zinahesabika huko Simba..mchezaji yeyote hawezi kutoka yanga kwa nyodo na kwenda Simba skacheza mpira na akadumu..ndivyo historia ilivyo...Hivi Yanga hawawezi kumrudisha ? Au alitoka Kwa dharau?
Good analysis.
Kuna mtu aliitwa ALEX SONG, alikuwa MWAMBA wa Arsenal, akaenda BARCA kusugua Bench mpk alipofurushwa! Sijui yukwapi. Ni kawaida ktk Soka
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa nakuheshim sana kumbe mtupu hivi kichwan?Mtafute Gadiel mwenyewe... maana hajawahi kulalamika. Na anazidi kunawiri tu.
Alikuwa anabwabwajaNilikuwa nakuheshim sana kumbe mtupu hivi kichwan?
Hivi unaanza kulinganisha mishahara kumbe hata hujui mwanzo alilipwaje na sasa analipwaje??
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakula jeuri yake..Mwisho WA siku utasikia yupo Kagera SugarHuyu dogo alitoka kwa dharau Sana ....alizima simu karibu wiki tatu...watu wa yanga wakamfuata mpaka misri alikokuwa na taifa stars lakini akagoma kusaini...siku za .mwisho akiwa yanga tayari alishaonana na watu wa mikia...yaani yeye na kakolanya wana dharau kubwa Sana...huyo kakolanya naye siku zake zinahesabika huko Simba..mchezaji yeyote hawezi kutoka yanga kwa nyodo na kwenda Simba skacheza mpira na akadumu..ndivyo historia ilivyo...
kakolanya angekuwa Tanzania one kama asingeihama YANGA, kipaji chake kimedumaa kwa kusotea benchi simbaGadiel kashaharibu kiwango chake, Simba wachezaji wanalogana sana gadiel amelogwa na tshabalala, kakolanya analogwa na manula, gadiel ajiandae kupelekwa kwa mkopo namungo.
U c what I c.
Ur the true son of Ur father.
It was not necessary for Gadiel to go to Simba.