Mfano Rita Mlaki alitamka wazi kuwa waliobomolewa ni wavamizi na wahuni. Hakuna hata thread moja iliyo jadili hilo
UKO SAWA INGAWAJE KWENYE ISSUES MTU UNAFOCUS KWENYE CORE ROLE PLAYER. Mlaki ndiye mwenye madiwani wanaojitahidi kumkwamisha mbunge. Mbunge kunyamazia hli suala ni udhaifu ambao si matarajio ya wapenzi wa CDM. Kukubali kukwamishwa, HALIMA anaonyeshwa udhaifu.
UKO SAWA INGAWAJE KWENYE ISSUES MTU UNAFOCUS KWENYE CORE ROLE PLAYER. Mlaki ndiye mwenye madiwani wanaojitahidi kumkwamisha mbunge. Mbunge kunyamazia hli suala ni udhaifu ambao si matarajio ya wapenzi wa CDM. Kukubali kukwamishwa, HALIMA anaonyeshwa udhaifu.
Mimi nasema hivyo kwa kuwa hoja zinazoletwa hapa kuhusu suala hilo mara nyingi ni ya kisiasa. Uhalali wa kuwahoji hawa ni kwa kuwa ndio wenye executive power katika jimbo la Kawe na ndio hao waliamua kubomoa, wakapanga utekelezaji, na wakasimamia utekelezaji kwa kutumia askari Polisi wa Tanzania. Hawa si watawala wa kuchaguliwa na Rais, bali ni watu waliochaguliwa nanyi wana Kawe.
Ninakubali kwamba Mbunge ana sehemu yake, lakini tatizo langu ni kuwa mbunge peke yake anakuwa kama ametegwa.
Kuna hoja zinatolewa na Wanasiasa wa CCM tena za kukera sana kuhusu swala hilo, lakini hizo zinanyamaziwa. Mfano Rita Mlaki alitamka wazi kuwa waliobomolewa ni wavamizi na wahuni. Hakuna hata thread moja iliyo jadili hilo
MAMA POROJO kweli ulipotea mara ya mwisho nilikupata kwa Mwigulu wakati kiongozi wa UVCCM akiuawa wakati jioni yake ulikuwa Kigamboni kwa Wananchi wakazi waliompokea Mbunge wao aliyefukuzwa na Naibu
Leo upo Kawe Madale na nusu eka safi sana ww mpiganaji
Halima ni very bogus
anariinga utasema haihitaji tena kura
wenzie kina Zitto na Mnyika wako humu
ukiwa na shida nao una wa pm tu
yeye hata ukim add facebook full maringo
mimi nakaa tegeta
nalazimika kumtuma Zitto au Ester Bulaya
wampe ujumbe Halima
simpi kura yangu tena
Mimi simjibii mama porojo, ila naomba nichangie kama ifuatavyo:-
Mbunge Halima ni mbunge wetu hata kama hatukumchagua. Kwa nini madiwani wa CCM wanaounda halmashauri ya Kinondoni hawahojiwi ni kweli lakini nani awahoji na kwa nini?
Mimi namng'ang'ania mbunge wangu kwa sababu kuu moja nataka afanye "informed decision" juu ya yaliyotokea. Tusisahau kwa yeye pia ni diwani wa Halmashauri ya Kinondoni, kwa hiyo anajua mtiririko wa maamuzi ya zoezi zima, pia ana taarifa ya mafanikio na mapungufu ya zoezi zima. Kama hajishughulishi kwa nini tusimtilie mashaka? Tunataka tujue tu yeye anafahamu nini kuhusu hili, na je anavyofahamu ndivyo tunavyofahamu? Sisi waathirika tunaona kuna kitu hakikufanyika sawa.
Kuanzia hapo ndipo tutamsomea hukumu; kwa sasa ni kutaka kujua ana msimamo na mkakati gani kuhusu hii kero?
Uongozi bora unaanzia pale kiongozi anapokuwa hana taarifa za kutosha na kuwajulisha waathirika kwa kuonana nao na kutoa maelezo kwamba suala lao analifuatilia. Kwa kasi ya ajabu eneo la Madale linapimwa na kuuzwa lakini waathirika hawataambulia kitu hata kama mimi nina uwezo wa kununua baada ya kupimwa.... hao wanaopewa kipaumbele ni akina nani??? Eneo hilo lilikuwa ni makazi ya watu zaidi ya miaka 10 iliyopita kasi hii ni ya nini wakati bado wananchi wanalalamika???mimi nadhani wananchi huwa tunatazama utekelezaji na sio Protocal na utaratibu wa utekelezaji na tumezoea sana maneno na kutembelewa kuliko utekelezaji unaoonekana. Hivyo basi kama wataka kujua hatua atakayo ichukua mdee vyema kutembelea ofisini kwake au kuwa na subira. Maana hawez kuja ikiwa bado hajapata ukweri wa kusema maana yule sio wabunge tuliowazoea wa CCM ambao husema hata ambayo ni juu ya uwezo wao.
Hoja yako ni thread ingine ya peke yake suala la Halima kutofika kuongea na wananchi wa Madale liko palepale.
sasa ni miezi 2 hajafika bado unataka kumtetea kwa kutumia ugomvi wake na Dk.Slaa na Mshumbusi sio mahali pake hapa. Ugomvi wao sio uliomfanya kushindwa kufika Madale.
Janet ni diwani wa kunduchi sio bunju
By MAMA POROJO
LULU ( ELIZABERTH MICHAEL) yule mtuhumiwa namba moja wa mauaji ya STEVEN KANUMBA (hatuna uhakika kama kweli aliua au hakuua) lakini watu wa mwanzo kukimbia kumtetea na wanaharakati ni HALIMA MDEE akiwa mmoja wa mawakili walijitolea kuhakikisha haki inatendeka, so why not Madale dwellers????
Je,Mdee alikuwa anatafuta umaarufu kwenye kesi ya LULU?
Wiki iliyopita Halima alikwenda Moro kwenye Arobaini ya ALLY ZONA aliyekufa kwenye maandamano ya Chadema na watuliza ghasia Polisi. Madale na Moro wapi mbali????????
Inasemekana kwamba Mbunge wa Kawe Halima Mdee yuko kimya kwasababu amekula Rushwa ya zaidi ya Tsh. Mil.100 kama kifunga mdomo kutoka kwa mmiliki wa uwanja huo ambaye ni Nyambari Nyangwine, hivyo kitendo cha kumtaka Halima Mdee atoe maelezo ya wapi alipokuwa mpaka uwanja huo umechukuliwa na kuuzwa kinyume na taratibu ni kama kumwambia ajihukumu yeye mwenyewe!:nerd:
Lazima wewe utakuwa na gamba, Halima ni jembe kwa kuhoji kwako hapa inaonyesha umetumwa. Ushindwe na ulegezwe