What has Halima Mdee done for Kawe (2010-2015)?

Ndoto za mchana hizi
 
Bi Halima eehh, jitulize kabisa mama tena ulale usingizi raha mstarehe bila kuwazia ubunge wako. Sisi vijana wenzako tupo na tumejaa tele kama pishi la ubwabwa na kadi zetu za kupigia kura.

Huyo mzee wa NCCR-Manunuzi tumekua tukimstahi saaana kutokumuanika hadharani ngoja tu ajilete kawe ataondoka bila manyoya. Kiwanja cha shule ya msingi kawe chonde ongea na Profesa pale ardhi.

Yule mama anayo EXPOSURE kubwa sana huko nchi za nje atakusikiliza na wala hatokuletea zile za Ki-Chiligati sijui Chilisosi kwamba mpaka MPAKA MBUNGE UWE WA KIJANI NDIYO upate haki.

Wizara zetu na mashirika ya umma ambako mtu ukienda ilmradi tu ni Mtanzania utasikilizwa na kupata haki ni chache sana nchini na wananchi tunazifahamu vizuri sana.

Kwa uchache tu ni kule kwa Magufuli, Mawasliano kwa Prof Nkoma, TBC Kwa Tido Mhando, Ofisi ya Bunge enzi za SS ...
 
Kama iko mahakamani hiyo document yako basi tusubiri mahakama iamue don't try to influence the decision of the court plse!!!!!!!!!!!!

mbona umempa nyota nyingi, uwezo wa kuINFLUENCE kitu ameutoa wapi? mwache aendelee kubwabwaja
 

Wacheni mambo ya Shekhe Yahaya na ubundi wenu. Mbuge wangu ni Halima Mdee mpaka 2015
 
Acha kuleta u.......mafisadi wenzako wote wako wanaumia kichwa kuhusu DOWANS kwamba watajinasua vipi? na hilo janga..? wewe unajiridhisha na kuanika P..eti Mdee....mdeee...Ulizia state house uambiwe Namba moja wako ambaye huwa mnamwita mwamba anavyolaumiana na Rostam ss hv....wewe ukinywa beer tu MDEEE..MDEEEE Mwenzako Mbatia anamegwa hivyo wa2 hawamshangai...sasa ww unafanywa nn?
 
Labda watengue na wamzuie kugombea tena, ila kawe ya Mdee tu

Hata wakitengua na hata hasipo gombea tena wakimweka wa CHADEMA anachaguliwa na wa CCM atamwagwa pia na ndipo hapo CCM hawatopata kura kabisa na hilo la TANESCO NA DOWANS liko live teh teh teh teh wasijidanganye kabisaaaa na ndipo hapo CCM itamwagiwa maneno chungu mzima na watu wamejione serikali imeshindwa tetea Bil 185 zinazotakiwa kulipwa DOWANS
 
Please great thinkerz msiwe mnachangia kwenye thread za wendawazimu kama hawa,maana uki urge with a fool nawe utaonekana fool
 
Please great thinkerz msiwe mnachangia kwenye thread za wendawazimu kama hawa,maana uki urge with a fool nawe utaonekana fool

Sasa wewe hapo umefanya nini? You are among them fools.
 
Title ya thread kama magazeti ya sani....tofauti na content yake...Ooops!!
 
msitake nicheke. Jamani lazima tuwe wavumilivu kusikikiliza ya wenzetu. huyu naona analeta ze comedy style hapa. Big up sana kwa kutupa smile isiyowezekena.
 
Leta ushahidi hapa sio kusema ya kusikia tuu
 
Guys. You should learn to take divergent opinions kindly and tolerantly. What suprises me is the way people react emotionally when others comment adversely! Do you think your threads are not as provoking and annoying to other readers as those that you scath? This is really unfair and it negates the whole spirit of letting people speak freely!
 
hizo habari umezitoa wapi weka data alafu to changie/umekurupuka bila shuka usingizini
 
Kama unataka katiba mpya sema Ndiyoooooooooo.......!
 

Huyu dada mpaka sasa hajafanya lolote kawe, anatuletea u sister du tu. Mfikishieni salamu , hatutaki utani sie tunataka maendeleo ndio maana tukamchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…