baada ya kile kigorofa kuna uwanja wa mpira. Familia ya diria ilijaribu kusema kile kiwanja ni chao ikashinda. Wkend iliyopita akishirikiana na ffu alizungushia uzio ule uwanja wote kwa siku moja, kama alivyofanya yule jamaa wa kituo cha bus pulm beachMkuu unamaana kile kighorofa alichootesha amepora kiwanja?
Mara ya mwisho nilimuona Halima Mdee, kwenye maandamano ya Mwanza amejipamba utadhani anakwend kwenye harusi, unaenda salon kusuka rasta unapaka na rangi ya mdomo halafu unaingia kwenye maandamano, halafu unasema unataka kuwakomboa wana Kawe.
nauliza tu hivi halima mdee ameshaolewa?
Bado Kesi iko mahakamani lakini tumebomolewa nyumba na kunyang'anywa ardhi tulitegemea mbunge ungekuja kusaidia namna ya kutafuta haki mahakamani lakini uko kimya. Wananchi masikini wamefungua kesi lakini kabla ya hukumu tumeondolewa kwa nguvu.
Wakati mwingine tunafikiri wapinzani ni dawa ya matizo yetu kumbe si kweli ukimya wa Halima Mdee kwenye tatizo letu la Madale hakika nimeushangaa sana.
Nusu heka madale ndio unalalamika njoo Mpiji Majoe tukupe 1 heka.