Mbunge wetu Halima Mdee, kumbuka maneno yako matamu kama asali uliyotoa kipindi cha uchaguzi hatimaye wana Kawe wakakupa UBUNGE. Umepita mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu umekabidhiwa dhamana ya kutuwakilisha MJENGONI Dodoma.
Twakushangaa sana unakuwa mkimya kipindi ambacho wananchi twahitaji utetezi wako. Nachukua fursa hii kukukumbusha wapiga kura wako wa Kunduchi Machimboni twapata shida, kuanzia wachimba kokoto, mama nitilie, wauza kokoto na wenye nyumba katika eneo husika twanyanyaswa na uongozi wa wilaya na mkoa. WEWE UPO KIMYA tukuelewaje??
Tulitegemea mara baada ya Mkuu wa Mkoa kutoa tamko la kufunga machimbo, wewe ungetoa msimamo wa kuunga wapiga kura. Mbaya zaidi ofisini haupatikani KULIKONI Mheshimiwa, ama kweli sikio la kufa halisikii dawa, tulifikiri wewe utakuwa Mbunge bora kumbe AFADHALI wakati wa RITA MLAKI alikuwa karibu na wapiga kura.
Tafadhali njoo utusikilize na kutuunga mkono ili tusihamishwe na nguvu na FFU.
Toa unafiki hapa
Nitamshangaa sana Mdee kama atawatetea watu wanaoishi kwenye maeneo ambayo yako condemnedMbunge wetu Halima Mdee, kumbuka maneno yako matamu kama asali uliyotoa kipindi cha uchaguzi hatimaye wana Kawe wakakupa UBUNGE. Umepita mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu umekabidhiwa dhamana ya kutuwakilisha MJENGONI Dodoma.
Twakushangaa sana unakuwa mkimya kipindi ambacho wananchi twahitaji utetezi wako. Nachukua fursa hii kukukumbusha wapiga kura wako wa Kunduchi Machimboni twapata shida, kuanzia wachimba kokoto, mama nitilie, wauza kokoto na wenye nyumba katika eneo husika twanyanyaswa na uongozi wa wilaya na mkoa. WEWE UPO KIMYA tukuelewaje??
Tulitegemea mara baada ya Mkuu wa Mkoa kutoa tamko la kufunga machimbo, wewe ungetoa msimamo wa kuunga wapiga kura. Mbaya zaidi ofisini haupatikani KULIKONI Mheshimiwa, ama kweli sikio la kufa halisikii dawa, tulifikiri wewe utakuwa Mbunge bora kumbe AFADHALI wakati wa RITA MLAKI alikuwa karibu na wapiga kura.
Tafadhali njoo utusikilize na kutuunga mkono ili tusihamishwe kwa nguvu na FFU.
Unapoteza muda wako..
Kwa mujibu wa twitter account yake leo kaanza ziara jimboni kuanzia atatembelea shule zote kwa kuwa umelileta hili jambo nitamfikisha akinipa majibu nitakuletea hapa mkuu
Kwa nini hamtaki kusikia ubovu wa wabunge wenu, unafikiri anawakilisha chama badala ya wananchi. Ni haki kwa wapiga kura kuomba ushiriki wake kutatua kero husika
Mbunge wetu Halima Mdee, kumbuka maneno yako matamu kama asali uliyotoa kipindi cha uchaguzi hatimaye wana Kawe wakakupa UBUNGE. Umepita mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu umekabidhiwa dhamana ya kutuwakilisha MJENGONI Dodoma.
Twakushangaa sana unakuwa mkimya kipindi ambacho wananchi twahitaji utetezi wako. Nachukua fursa hii kukukumbusha wapiga kura wako wa Kunduchi Machimboni twapata shida, kuanzia wachimba kokoto, mama nitilie, wauza kokoto na wenye nyumba katika eneo husika twanyanyaswa na uongozi wa wilaya na mkoa. WEWE UPO KIMYA tukuelewaje??
Tulitegemea mara baada ya Mkuu wa Mkoa kutoa tamko la kufunga machimbo, wewe ungetoa msimamo wa kuunga wapiga kura. Mbaya zaidi ofisini haupatikani KULIKONI Mheshimiwa, ama kweli sikio la kufa halisikii dawa, tulifikiri wewe utakuwa Mbunge bora kumbe AFADHALI wakati wa RITA MLAKI alikuwa karibu na wapiga kura.
Tafadhali njoo utusikilize na kutuunga mkono ili tusihamishwe kwa nguvu na FFU.
Wewe ni mpumbavu kwelikweli, na huo unafiki wako utakuaibisha siku si nyingi. Wewe si mjumbe wa nyumbakumi(shina) la ccm, nenda kwa mwenyekiti wako ccm taifa ukamweleze ujinga wako huo.Huyu mbunge anapatikana wapi? jimboni hapatikani na ofisini hayupo, twaogopa kumfuata Kinondoni ofisi ya chadema makao makuu, kwani walinzi wa kimasai watatutoa mkuku.
Tupo serious mkuu wa mkoa anatishia maisha yetu, tafadhali mkimuona Halima Mdee mfikishieni ujumbe
Wewe ni Mbunge wako ni wa Kawe au Ubungo Mbona sikuelewi