What happened to Mgabe??

muafaka

Senior Member
Oct 30, 2009
101
18
Si kipindi kirefu kilichopita tumeshuhudia media titles hasa katika front pages zikielezea ubaya wa utawala wa Mugabe wa Zimbabwe.

Kama utafuatilia vyombo vya habari sasa hata vya nchi za Magharibi ni very rare kusikia habari za Mugabe kwa taswira ya Giza.

Najiuliza hivi huyu Mzee kashakuwa mtu mwema kwa westeners?, hali hiyo inatupa fundisho gani nchi zetu za afrika? tafadhali wenye upeo a swala hili wanipe mawazo yao.
 
Always do not trust western countries. They relay on permanent intersets and not permanent friend. Mark my words.
 
Back
Top Bottom