hahaha una maneno!Dooh kumbe Kasie mahaba watu wanajua mie ndo Diva kipindi cha mahaba aahahahahhahahahaaa
Jamani naomba ieleweke wazi, Kasie sio mtangazaji wa kipindi chochote kile cha radio, kazi yangu ni umesenja kwwnye kampuni ya makaburu hukoo mamtoni. Kwani huyo diva ni chotara wa kinyamwezi kama Kasie?
Anyways am not her.
Am Kasinde aka Kasie Mahaba Matata.
Hah
hahaha una maneno!
Diva yule sijui ni mutoto ya wapi ila yupo safi kwenye mahaba matata 🙂
Sawa kasie matata 😉Hivoo eeehh basi sawa kika la kheri kwake kwenye shughuli zake. Ila mahaba ni sehemu ya kiungo kwa mwanamke hivo tunaovitumia hivo viungo basi mahaba yanakuwa nje nje wengine wana fichamo hadi wanazeeka hakuna mahaba.
Muchacha!
Figure of speech! Figure of Speech!
Unalicheza online au offline?View attachment 689079modern combart 5
Nacheza onlineUnalicheza online au offline?
Aaah Muchacha, Malcom is here!Missed you baby ML.... where you at...!!??
Malcom Lumumba
Aaah Muchacha, Malcom is here!
Mischa too babyy!
Yap ps3ps3 bila shaka
Hivi hizi Nvidia unaweka mwenyewe kwenye laptop audesktop, i5 3470 @3.2ghz , 16gb ram, nvidia gtx 630 2gb
Dirt 4 is better.playing Dirt rally 3 now. .
mkuu hongera naona mashine yako iko vizuri, nayatamani sana haya hasa ww2 ila pc yangu spc zake ni ndogoHII NDO LIST YANGU YA GAME NINAZO CHEZA KWA MWEZI HUU...........HAPA MPAKA NIMALIZE NDO NITACHANGE.
Pole Mkuu........mkuu hongera naona mashine yako iko vizuri, nayatamani sana haya hasa ww2 ila pc yangu spc zake ni ndogo
Kaka mm mpenzi na mlevi wa games za soka naomba link ya hiyo pes2018HII NDO LIST YANGU YA GAME NINAZO CHEZA KWA MWEZI HUU...........HAPA MPAKA NIMALIZE NDO NITACHANGE.
Kaka mm mpenzi na mlevi wa games za soka naomba link ya hiyo pes2018
NI 2017 hiyo mkuu................nikupe link hivyo hivyo?Kaka mm mpenzi na mlevi wa games za soka naomba link ya hiyo pes2018