Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
The picture is evidence that we need a revolution
Mkuu wa kituo cha polisi anajisikiaje kwa uchafu huu?
Mkuu wa kituo cha polisi anajisikiaje kwa uchafu huu?
Huku ndio kufa kwa maadili, kila mtu anaangalia mwenzake kuwa ndio atalishughulikia hilo tatizo. Kama mwanakijiji alivyoandika, tangu linaanza hawakuona?. Ni kutegeana wakati madhara kuanzia harufu, usumbufu na maradhi watapata wanaoishi hapo na hata wanaopita.
msiniambie kuwa hakuna mtu anayefikiria kufanya kitu kama kampeni ya usafi hapo mtaani..
Mbona mnatushangaza jamani ?kumekuwapo na watu wanao nadia katika magazeti na mablogs mara kwa mara na kuwambia ulimwengu kuwa Jiji letu ni mmoja kati ya miji Tambarare ya Ulimwenguni sasa Utambarare umetokomea wapi ?
hahaha Babylon sasa hutaki?
Huyo kwenye hilo jumba la bilioni 1.4 ukimwambia bongo siyo tambarare atakubali?
Mbona mnatushangaza jamani ?kumekuwapo na watu wanao nadia katika magazeti na mablogs mara kwa mara na kuwambia ulimwengu kuwa Jiji letu ni mmoja kati ya miji Tambarare ya Ulimwenguni sasa Utambarare umetokomea wapi ?
Ndugu MMKJ nani afanye kampeni ya usafi ukiona siku kiongozi au mtu yeyote akifanya kampeni ujue kuna kitu anakitafuta sehemu hiyo kwanza atauliza kama kamera zipo hivi ITV watakuwepo ili aonekane akifagia kifupi hatuna hulka ya usafi wakati usafi wala hauhitaji fedha za kigenimsiniambie kuwa hakuna mtu anayefikiria kufanya kitu kama kampeni ya usafi hapo mtaani..