Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,792
- Thread starter
- #41
Nilisema wapi nina huo umri?Kama nakumbuka vizur. Ulisema una miaka 30.
At that age uliyonayo kwa standard ninayoona mm ilitakiwa uwe tayar mwanaume huyo ambaye kichwan kwako unamuongelea.
Na tayar awe Baba.
Awe mke na mtoto/watoto. Nyumba yako (hata ya kupanga) kazi /biashara yako na jamii iwe tayar ishakupa heshima kama Kijana mwanaume na kukuhusisha kwenye maamuzi kadha wa kadha.
Alafu
Alafu kuhusu Ego. nategemea u-practise what you preach.
Kwanini usije na ABC zako kuliko kuja na projection yangu ambayo kiuhalisia hatujuani?
Umesema uwe na kazi, mke, biashara??
Hivyo ndo criteria za uanaume?