What does absence of COW at SGR launch mean?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
63,427
88,710
When the construction of the SGR was launched this was this hullabaloo image that covered the big story in a pomp n farey mood.

Kagame-railway-1-696x455.jpg

And this is at the official launch of that Mombasa-Nairobi section that will cost Kenya leg n arm, something terribly wrong must have happened...

18765564_1694403423921537_8506055852508642538_n.jpg

18813690_1695242753837604_6299219265613132875_n.jpg

What happened? as depicted in the picture above, Uhuru is a jittery and deserted and a very lonely man at a very somber mood...!

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11, Livale
 
Hahaha geza i pity you.....just relax stop overthinking...am sure museveni will be there when malaba one is launched
 
kenya forum hakukaliki Leo...kila mtz anapoingia anakutana na launch ya sgr anatoka mbio kwenda kujiliwaza na picha ya bullet train....sema kula ugali kwa harufu ya kuku.hehee
Sio kweli. Labda kwa nyinyi mnaopenda kushindana. Mimi hainisumbui kwa sababu hainisaidii, not only in Kenya hata ingejengwa Tanzania bado haisaidii kuniingizia pesa mfukoni if I don't work hard...
 
Mbona hujibu absence ya COW

Au walifunguliwa mapema wakaenda kula nyasi
 
what's the big deal apa?Uganda na Rwanda bado wanajenga reli itakayoungana na Kenya....naona mnatafuta pa kutokea kwa nguvu.kuna jamaa wenu mmoja Kenya ikitumbukiza na kutoa nanyi mwatumbukiza...haya tunangoja yenu sasa
 
Stop hiding in the umbrella of "The big deal"

Hii ni hoja imetokea kinachotakiwa ni kutoa hoja zenye mantiki kwa nini hawakuwepo, whether walialikwa wakaaona aibu kuja au hawakualikwa, au basi tuseme unasaba uliisha!

Haihitaji utoke povu badala yake tunajadili hoja taratibu bila mahaba!

Wote tunajua train imeanza kazi lakini makandokando kama haya yakiwepo unayapa majibu muafaka tu!

Kama hujui basi subiri wengine watajibu, Kenya ni kubwa na ina watu wengi wana majibu acha kuwaaibisha!
 
Mbona hujibu absence ya COW

Au walifunguliwa mapema wakaenda kula nyasi

Wangekuja mngelia sana, bora hivyo ilivyo kwamba reli ni yetu na itaishia mpakani mwa Kenya na Uganda. Hela zimepatikana na ujenzi umeanza wa kufanikisha safu iliyobaki. Huku Mchina akijiandaa kuileta barabara ya dunia iunge kwenye LAPPSET.

Halafu Uganda alishapewa mojawapo wa vigezo muhimu kwake yeye kupata hela za Mchina lazima baba wa EAC Kenya aridhie.
Vipi kwenu huko naskia mnamfuata hadi Zuma akawatafutie mkopo wa kujenga reli, kila rais akija mnampa kibakuli cha kuomba omba, huyo Zuma mnayemtegemea huwaza mambo ya kuoa wake wengi na kujenga nyumba zake, sasa hayo ya reli mnamhangaisha akili.
Haya mambo hufanywa na watu wa ligi ya juu sio huo ukurupukaji wenu.
 
Hapa naona unaajificha kwenye kichaka na kukwepa hoja! Mtu kama wewe kulia kwetu kama hao watu wangekuja kungekusaidia nini?

Haya hawajaja na silii, sasa tujadili kwa nini hawapo?

Ukitaka haya ya huku kwetu fungua uzi tukujibu badala ya kuibua hoja mpya ili kudhoofisha hoja ya awali!
 
kenya forum hakukaliki Leo...kila mtz anapoingia anakutana na launch ya sgr anatoka mbio kwenda kujiliwaza na picha ya bullet train....sema kula ugali kwa harufu ya kuku.hehee

images

Kunbe ndo maana Jf Kenya kumenyamaza hivi leo?
 
Sio kweli. Labda kwa nyinyi mnaopenda kushindana. Mimi hainisumbui kwa sababu hainisaidii, not only in Kenya hata ingejengwa Tanzania bado haisaidii kuniingizia pesa mfukoni if I don't work hard...

Acha kujitetea, mlisema mengi ya madharau kuhusu mradi huu, na kutumai ya kwamba ingekuwa white elephant, lakini wapi?
 
Alisema nani? Hebu acha ujuha wewe wa kufananisha watu ovyo. Ulishawahi kuniona nabishana ovyo kama mjinga? Ukifanya jambo zuri nakusifia lakini ukifanya blunder nakuponda... period!...
 
Hapa naona unaajificha kwenye kichaka na kukwepa hoja! Mtu kama wewe kulia kwetu kama hao watu wangekuja kungekusaidia nini?

Haya hawajaja na silii, sasa tujadili kwa nini hawapo?

Ukitaka haya ya huku kwetu fungua uzi tukujibu badala ya kuibua hoja mpya ili kudhoofisha hoja ya awali!

Hii hoja mumeileta kiushabiki kwa kusema Uhuru ametelekezwa, hivyo mnajibiwa kiushabiki, inategemea na unavyopanga hoja yako, utajibiwa vivyo hivyo na kuongezewa matapishi zaidi. Kulia lia kwenu hakungenisaidia, ningeishia kuwacheka pembeni halafu niendelee na maisha.

Ninachojua ni kwamba Museven na Kagame walishazindua ujenzi wa reli, hivyo hawawezi kuja kukenua meno kwenye kila hatua. Ikumbukwe leo hii Uhuru yupo kwenye kampeni hivyo anatumia uzinduzi huu kisiasa zaidi ya kawaida, amesafiri leo kwa gari lenyewe na anashuka kila kituo kikuu kuhutubia wananchi na kuomba kura, nimefuatilia yupo kikampeni kabisa, sasa sioni jinsi Museveni na Kagame wangeburuzana naye kwa shuguli yote hiyo.
 
Wewe nadhani ndo unataka kuleta ushabiki, hiyo ni hoja ya kawaida kabisa ambayo ikitolewa majibu kila mtu ataelewa!

Sasa suala la kutelekezwa au la huku train imeanza kazi kuna shida gani!

Hebu acha makandokando mweleweshe tu mleta hoja!

Kingine uwe na staha, kusema rais kuja hapo ni kaja kukenua meno ni otovu wa maadili kwa viongozi
 
Back
Top Bottom