What could this be? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What could this be?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by IronBroom, Jul 29, 2009.

 1. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wakuu respect,

  Nimekutana na hii kitu kwenye mail box yangu.Simfahamu huyo mtumaji.Ajabu zaidi hizo wanita22efua@yahoo.com na wanita24efua@yahoo.com sizifahamu. .Hiyo mail box yangu mimi ipo gmail.

  Je mtumaji ana nia gani?Amefahamu vipi email address yangu?Na je,inawezekanaje email itumwe kwa mwingine(yaani wanita22efua@yahoo.com na wanita24efua@yahoo.com) halafu mimi niliyeko gmail niipate ilhali anwani yangu hiyo haipo kwenye list ya watumiwa?Ni BCc gani hiyo?

  Screenshot attached.
   

  Attached Files:

 2. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hao ni wezi wanatuma tu kwa mtu yeyote, wala usijibu watakuibia
   
Loading...