AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,080
good....coz at leaste u have sniffed something fishy...hahaha uyo dogo apo juu, mnaelekea wapi? Uliona kweli wanaume wawili 'wenye mawazo' ya mwanamke huyo huyo wakakaa meza moja wakaelewana?
Kumbuka ninasoma kati kati ya mistari
sasa,mimi niko kwen late 30s and I think ninaqualify kwenye 'older men'....mmh?
LOL...LOL...Kaizer wewe kazi yako juu yangu ni kunipiga majungu tu.... Huyo TF anataka nimpe mwanangu, but she is young kwa hiyo hata rafiki au mdogo ni poa... kama uko late 30s - YES you do qualify kwenye older men...ha ha ha