Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 725
Hizo comments nimebaki najichekea tu
Umeona eee mi sina hata mbavu hapa mpaka nashindwa nisemeje watu wamepinda lol
Hizo comments nimebaki najichekea tu
Hahaha!!! Sio hivyo Asha lakini everything has a way if i know you love money i don't have that kind of money you need why bother staying with you maana najua kila siku nitakuwa naumia tu I'd rather let you go na ukamtafute huyo mwanaume mwenye pesa ambaye unamtaka wewe other than niwe naumia kila siku kuwaza kukutafutia hela wewe tu instead of building our lives.Mmmmh... Basi hapo wadada ndo hamtuelewi kabisaa!!!
Hahaha!!! Sio hivyo Asha lakini everything has a way if i know you love money i don't have that kind of money you need why bother staying with you maana najua kila siku nitakuwa naumia tu I'd rather let you go na ukamtafute huyo mwanaume mwenye pesa ambaye unamtaka wewe other than niwe naumia kila siku kuwaza kukutafutia hela wewe tu instead of building our lives.
That's for sure hapo siwezi bisha kabisaTF hivi unaelewa jinsi ladies tulivyo wataalam wa kuficha tabia fulani kama tunajua huwezi ipenda au kumudu... Unaweza kuta sector zingine za muhimu uko fit - kukuacha hakuachi ila tu anakua na ziada wenye pesa.
Eti nyie vijana mnapandia kama mnaendesha "gutta"Limebeba mzigo wa pickup!!Lakini mzee ananijali nadeka pesa napewa sihitaji kuumiza kichwa!!Ila nikiwa na hamu natafuta kaserengetiboy kangu kanakuja kwa masharti kasizoee!!Nilimsikia mdada mmoja!!!Kwenye hili hauhitaji kufanya research huko mitaani tunakoishi we have seen things like this happening, wadada wengine wanakwambia kabisa " I am getting married, or i am dating that older man not because i love him but it's because of his money and fame hanisumbui kama hawa vijana wengine" kwahiyo nnunu you can understand
Hahaha!! KK huwa wanasema vijana kama vile wako kwenye Formula 1 wakati mzee yeye zake ni kutoka Jangwani hadi Fire ndio yuko highest speed KK wewe utatoka Mbagala hadi Tegeta raundi karibia nneEti nyie vijana mnapandia kama mnaendesha "gutta"Limebeba mzigo wa pickup!!Lakini mzee ananijali nadeka pesa napewa sihitaji kuumiza kichwa!!Ila nikiwa na hamu natafuta kaserengetiboy kangu kanakuja kwa masharti kasizoee!!Nilimsikia mdada mmoja!!!
Ladies bwana why dont you accept tu kwamba kinachowapeleka kwa babu (sio wa Loliondo) ni shida za dunia?,
Asha D first born wako ameishafika 18 nije kugonga hodi najua wewe hauwezi kunitoa ndukii mzee ndio anaweza kunitoa ndukii hata kunishikia gobore lolHatujakataa, hio lakini ni moja ya sababu... na si woote, wale waliobahatika kua watambuzi hugundua babu/bibi humuweka mwenzi wako katika hali ya kukufuata kila utakacho... Sasa nani anataka zezeta! after all personally i would really want some actions kama kuonewa wivu - misukosuko kidogo, n.k... inafanya kila mwenza ku appreciate mwenzie zaidi for you know what length the other can go for you.
Asha D first born wako ameishafika 18 nije kugonga hodi najua wewe hauwezi kunitoa ndukii mzee ndio anaweza kunitoa ndukii hata kunishikia gobore lol
what else other than Benjamins?
But they don't like older men lolDuh... unfortunately she is 10... but wadogo na marafiki wapo TF
Hahaha Revolution wanataka kwenye mechi ya nyumbani tu washinde 4-0....Benjamins makes the world go round....wazee wanatoa hela nyingi na hawachoshi (kamojaaa tu) vijana hela za mawazo, uongo na ahadi hewa nyingi na kisha mechi wanakamia ile mbaya......na ukishakolea mizinga wanapiga wao kwako (kwa mdada).
But they don't like older men lol
Mara nyingi ni NJAA TU ,wakishikishwa vihela na visuprise vya kizamani wanapoteza maono siunajua dada zetu hawa HISIA NYINGI ..
Hahaha!!! What stopped you for doing that Lol!!LOL...Nimekuona tu! I can read between the lines... yaani she just had to be my daughter....LOL