What attracts women to older men?

good....coz at leaste u have sniffed something fishy...hahaha uyo dogo apo juu, mnaelekea wapi? Uliona kweli wanaume wawili 'wenye mawazo' ya mwanamke huyo huyo wakakaa meza moja wakaelewana?

Kumbuka ninasoma kati kati ya mistari

sasa,mimi niko kwen late 30s and I think ninaqualify kwenye 'older men'....mmh?

LOL...LOL...Kaizer wewe kazi yako juu yangu ni kunipiga majungu tu.... Huyo TF anataka nimpe mwanangu, but she is young kwa hiyo hata rafiki au mdogo ni poa... kama uko late 30s - YES you do qualify kwenye older men...ha ha ha
 
Sijui kwa nini nimeona apo tu? Dogo nimeshamwambia cha KUFANYA.....LOL
 
Umefanya vizuri, mana Kaizer yuko tayari kwa kunipa vijembe....LOL
Kaizer mimi bana nikae kimya nisije nikaambiwa nivue magamba
haya rudi kagonge senks kisha urudi shule haraka sana.....

subiri binti wa Asha D akue sawa? ni marufuku kudeal na watoto kwen chama chetu umesahau?:israel:
Hahahahaha
Sijui kwa nini nimeona apo tu? Dogo nimeshamwambia cha KUFANYA.....LOL
Sina cha kuongeza
 
Huu mthredi kaanzisha nani vile,nimeshindwa changia ngoja nikatafute zee kwanza halafu nirudi:second:
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom